Content removal request!


Warabu #JSSaoura Watua Dar Usiku Wabeba Maji na Chakula

Timu Ya JS Soura Kutoka Nchini Algeria Imetua Nchini usiku wa kuamkia leo Kuwavaa Simba Katika Mchezo Wa Hatua Ya Makundi Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika. Simba inatarajiwa kucheza dhidi ya JS Saoura ya Algeria, kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa Ikumbukwe Pia Timu Hiyo Anachezeza Mtanzania Thomas Ulimwengu Waliyemsajili Hivi Karibuni #SimbaSC ipo Kundi D katika michuano hiyo ikiwa na timu za As Vita Club ya DR Congo, Al Ahly ya Misri na JS Saoura. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars