Leo Tarehe 20/8/2022 Ni Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Wenyeji Simba Sc dhidi ya Wanankrukumbi Kagera Sugar ,Uwanja ...
kutoka Niger, Msemaji wa Simba Sports Club Ahmed Ally amezungumza na Mpenja Tv Mara baada ya kutoa Sare dhidi ya Us Gendarmerie ya Nchini Humo. . Ahmed ameongea na Wanasimba kuwa, kile walichowatuma wamekitimiza. . Na sasa Simba wanakwenda kuchanga Karata Yao nyingine dhidi ya RS Berkane ya Morocco. . Fungua Video hii kupata undani wa habari hii. #MpenjaTv
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Klabu ya Simba imerudisha heshima yake iliyopotea kwenye takribani michezo mitatu ya Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mbeya City, Mtibwa Sugar na Kagera Sugar ndio waliopoteza matumaini ya WanaSimba baada ya kuwazuia kutopata hata bao hata moja katika michezo yao mitatu ya ligi ambayo walifungwa mara mbili na kutoa sare moja. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
SHUHUDIA TAMBO ZA MSEMAJI WA SIMBA | sisi sio yanga dar city anakufa nyingi kwa mkapa baada ya simba kuandamwa na matokeo mabaya katika michezo yao mitatu iliyopita mchezo wao dhidi ya mtibwa sugar , simba vs kagera sugar , simba vs mbeya city kwa kutokupata goli hata moja sasa msemaji wa simba ahmed ally amesema mechi hiyo anaenda kuitumia kama njia ya kufuta machozi wanasimba aidha simba watamkosa kocha wao mkuu pablo franco katika mchezo huo lakini bado msemaji wao anaimani dar city watapigwa nyingi
CHAMA ANARUDI SIMBA? AFISA HABARI AFUNGUKA ISHU ya USAJILI "MAMBO NI MAZURI" AFISA Habari wa Simba Ally Shatry Maarufu Chico amefunguka ishu ya usajili wa klabu ya Simba katika dirisha dogo huku akiwaambia wanasimba mambo ni mazuri kuhusu ishu ya Chama wasubiri Usajili ukikamilika watajua. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
#utopolo #simba #yanga #zanzibar Shabiki wa simba maarufu kama mzee wa utopolo akitamba na klabu ya yanga, simba wale ni wetu tumewaonea huruma tu ila asijisifu maana kule Zanzibar mapinduzi cup sitomuacha kabisa yule ni wangu tu sisi yanga hatuna presha tuna huruma sana #simba #yanga #nbc #zanzibar #mapinduzi #utopolo #shabiki #wanajangwani #wanasimba