SHUHUDIA TAMBO ZA MSEMAJI WA SIMBA | sisi sio yanga dar city anakufa nyingi kwa mkapa baada ya simba kuandamwa na matokeo mabaya katika michezo yao mitatu iliyopita mchezo wao dhidi ya mtibwa sugar , simba vs kagera sugar , simba vs mbeya city kwa kutokupata goli hata moja sasa msemaji wa simba ahmed ally amesema mechi hiyo anaenda kuitumia kama njia ya kufuta machozi wanasimba aidha simba watamkosa kocha wao mkuu pablo franco katika mchezo huo lakini bado msemaji wao anaimani dar city watapigwa nyingi