Alichokisema Afisa Mhamasishaji wa Yanga Nugaz Baada ya Simba kushinda Namungo 3-1 "MOYO MKUNJUFU" Goli la Morrison Tishio Goli bora La Msimu Namungo vs Simba 1-3 |Ligi kuu ya Vodacom Highlights Namungo Fc vs Simba Sc 1-0 |Goli la Namungo Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Leo :Highlights 🔴LIVE:NAMUNGO FC VS SIMBA SC LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA LEO (VPL)MAJALIWA STADIUM Simba Watangaza kikosi cha kwanza Leo kinacho kwenda kumalizana na Namungo VPL,Chama out.... Breaking:Simba Sc Yapata PIGO zito kuelekea mechi yao ya Leo Dhidi ya Namungo,,, Uchambuzi wa Mwl Kashasha kuelekea Mechi ya Kwanza Namungo vs Simba Sc Msimu huu VPL "MECHI NGUMU" Alichokisema haji Manara kabla ya Mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Leo Namungo vs Simba,,, Vita Mpya Simba Kagere na Mugalu bhado Nzito sana, Privadinho Aingilia kati Kagere ni hatari kuliko Vita MPYA Simba Yazuka ni Chris Mugalu na Medie Kagere, Mchambuzi huyu Aingilia kati, Amtetea Mugalu Mabao Yampa Jeuri Kaseke Yanga Afunguka Ntafanya makubwa Zaidi, Kocha Wa Yanga, Nikipata NAFASI,,,,, Kwa Mara ya Kwanza Jonas Mkude Afunguka Kujiunga na YANGA atoa Tamko Zito,Mkataba Wake Mnono,Nafasi Yanga Wamalizana Nakiungo Hatari Kutoka Simba Mkude Asaini Miaka Miliwi, Jezi No 20,Usajili Watikisa Manara Atoa Tamko Zito kwa Yanga "TUTA WAPA POINT 3" Offer kubwa Sharti Ni moja tu Msikimbie,,, TFF na Bodi Ya Ligi Watoa Tamko kuelekea Msimu Ujao 2021/2022, Timu Zinazo daiwa na Wachezaji,Leseni Yanga Sc Watoa Tamko Zito Wachezaji Walio na Utovu wa Nidhamu "OUT YANGA?" Wamefanya vitendo hivi... Breaking:Yanga Wamfukuza Golikipa Wao Namba Moja Metacha Mnata Kambini,Kunywa pombe,Utovu wa Nidham Walio Kimbia Mechi Wapewe Fungu Lao Kutoka Azam "WAZEE WA KANUNI " Kauli ya Manara Kwa Yanga,Hawafai Yanga katika Usajili Waanza namchezaji Huyu Wakimataifa Kutoka AS Vita Ya Congo, Djuma Shabani Mil,,, YANGA kimya kimya wamwaga mamilion kumsajili DJuma Shaban wa As Vita ya CONGO alie wasumbua Al Ahly YANGA kimya kimya wamwaga mamilion kumsajili DJuma Shaban wa As Vita ya CONGO Simba waingilia kati Yanga wafanya mazoezi ya Kufa mtu kujiandaa na VPL, latiba mpya ya YANGA hii hapa msimu huu tazama Wachezaji wanao mpa jeuri Mwambusi kocha wa YANGA VPL ataja kikosi chake cha ushindi hiki hapa.... YUSUPH MANJI azua gumzo YANGA anarejea na mabillion ya pesa,Mapya yazid kuibuka huwezi amini..... Afisa mhamasishaji wa YANGA Antonio Nugaz amuumbua MANARA "unarembua huyu dem mkali" amjibu kisomi Kocha wa YANGA aunda vikosi vitatu hivi hapa! Wamedhamilia kuchua ubingwa waja na mbinu mpya,,,, Baada ya YANGA kumtangaza kocha wa makipa kutoka Kenya MANARA awaumbua "Air chibonge" Yanga wana.... Shabiki wa YANGA Akili 5000 afichua siri wanao ihujum Yanga na wapo Yanga,MANARA aomba CAG Jangwan Yanga watangaza benchi la Ufundi (benchi la nchi Tano) hii ndo Yanga ya ubingwa tazama Yanga kwa kocha huyu Kombe ni Lao "kocha mpya wa YANGA ni tishio AFRICA" kutoka Urafansa afunguka Yanga sc wamtangaza kocha mpya huwezi amini waanika CV zake zote ndani ya massa 24,MIGNE FROM FRANCE Huyu ndie mrithi wa Cedric Kaze YANGA Sebastian Migne "kibari cha mzuia kocha mpya Yanga" Hubert?,,, Boss wa kaizer Chiefs ya south Africa awafuata Mukoko Tonombe na Tuisila Kisinda YANGA, dili nono Kazi imeanza Mwambusi abadili gia Yanga Kisa ubingwa Ligi kuu Bara,Sarpong,Fiston, Kisinda wanahusik Wadhamini YANGA wamwaga mabillion wawili waongezeka "bill 43.8" waipindua Simba ya Mo (Dangote&Manj) YANGA wafanya jambo lingine kubwa kuliko "wakufunzi wa mpira kutoka South Africa" wapo jangwani... Yanga wafanya maamzi mazito katika usajili Straika kutoka DR CONGO David Molinga arejea Jangwani Baada ya kikao kizito YANGA SC Watoa tamko zito Kuhusu kocha mpya "fagio lapita watatu wabakia" Wachezaji wakimataifa Mukoko Tonombe Niyonzima watimka YANGA Makamu mwenyekiti yanga athibitisha Mifumo ya kocha mpya YANGA yavuja,yambeba Carlinhos Tuisila na Niyonzima,soka lake ni kushambulia #NamungoFc #VPL #SimbaSc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #MichaelJackson #Rayvanny #DiamondPlatnumz #Harmonize #TanzaLiveTv #Ebitoke #Tanasha #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam
Mchezaji wa kimataifa LAMINE "OUT YANGA" Aandika ujumbe Mzito Mashabiki wastukia anasema ivi,,,, Ratiba ya Mwisho Yanga Msimu huu, Nitishio ili wachukue kombe la VPL nilazima Simba ipotezee?Darby! Deal done! YANGA SC wamalizana na Midfield wa kimataifa kutoka Egypt Kwa Mamilion ya Pesa GSM waamua Exclusive:Meneja Wamchezaji wa Simba Tshabalala aukana Mkataba wa Simba,Ashapewa Pesa na,Kama ya BM3 TFF yaongeza Adhabu Yamfungia Mchezaji Wa Simba Ibrahim Ame Baada ya Kumsukuma Linesman Afutwa,,,, Breaking:TFF wapitisha Rungu kaliii Aliekataa Goli la Onyango Afungiwa,Morrison,mzunguko 3 Faini 1M Beki Hatari Wa Simba Amaliza Utata Asaini Mkataba Wamiaka mitatu Eng Afunguka Yanga watamba.(Kisasi) Manara Ambembeleza Tshabalala Asiende Yanga "BarBara usikubari nakuomba mzuie" Siri ya fichuka hana Breaking:Beki Hatari wa Simba Mohammed Hussein Tshabalala asaini mkataba,Miaka 3 Kwa 420M Atoa Tamko Saido NTIBAZONKIZA Atoa Tamko Zito Yanga afunguka kujiunga na Simba "mimi ni yanga" ni timu kubwa,,, Breaking:Kiungo mshambuliaji Yanga NTIBAZONKIZA Aibukia Simba kama Morrison mkataba wake wafichuka Saido NTIBAZONKIZA Apewa Onyo Kali na Viongozi wa Yanga, Kocha Mpya atema cheche amnyooshea mikono,, Yanga watoa Tamko zito kwa kitendo cha NTIBAZONKIZA,Saido Out! "Yanga ni kubwa kuliko mchezaji" ondo Video:Alicho fanya NTIBAZONKIZA kwa Mwambusi kocha wa Yanga afunguka bifu zito "utovu wa nidhamu",,, Sikia kejeli za Manara baada ya ushindi wa Yanga vs Gwambina (3-1) 'LEO MGUMBA KAPATA MIMBA' fyoko,,Mambo kumi (10) yaliyo onekana katika ushindi wa Yanga 3-1 Gwambina Nchimbi wow! Ntibazonkiza amehar Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 20 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 18 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 17 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 10 April 20/2021 Yanga vs KMC 1-1 :VPL magoli yote Goli la Yacouba Yanga leo |full time Highlights 🔴LIVE:YANGA SC VS KMC FC VODACOM PRIMIER LEAGUE LEO (ROUND 24) Kikosi cha kwanza YANGA leo dhidi ya KMC kwa mkapa,kikosi cha kikatili ushindi lazima Saido,Yacouba Yanga mpya ya Mwambusi balaa,kuanza kazi leo SAIDO, Yacouba ndani Mastaa Yanga wawekewa Mil 20 Mezan Yanga yapata PIGO ZITO wachezaji hawa kuikosa mechi ya kesho dhidi ya KMC kocha athibitisha Kocha wa YANGA aahidi ushindi dhidi ya KMC VPL, afunguka mazito kesho kwetu ni fainali "tutashinda" Kocha wa makipa Yanga awafanyisha mazoezi Metacha na Shikalo wamnyooshea mikono Tazama mazoezi YANGA YATOA TAMKO ZITO KWA TFF ADHABU YA KUMFUNGIA MWAKALEBELA Breaking:Uongozi wa YANGA watoa Tamko zito kuhusu maandamano ya kudai haki kwa TFF,waanika Mapya.... Mchezaji wa YANGA Haruna Niyonzima afunguka kustaafu soka Mapya yaibuka aitaja Timu hii.... Wachezaji wa YANGA wachekelea ujio wa Yusuph Manji, waitambia simba ya Mo, wanao mjua wafunguka YUSUPH MANJI azua gumzo YANGA anarejea na mabillion ya pesa,Mapya yazid kuibuka huwezi amini..... Afisa mhamasishaji wa YANGA Antonio Nugaz amuumbua MANARA "unarembua huyu dem mkali" amjibu kisomi Kocha wa YANGA aunda vikosi vitatu hivi hapa! Wamedhamilia kuchua ubingwa waja na mbinu mpya,,,, Baada ya YANGA kumtangaza kocha wa makipa kutoka Kenya MANARA awaumbua "Air chibonge" Yanga wana.... Shabiki wa YANGA Akili 5000 afichua siri wanao ihujum Yanga na wapo Yanga,MANARA aomba CAG Jangwan Yanga watangaza benchi la Ufundi (benchi la nchi Tano) hii ndo Yanga ya ubingwa tazama Yanga kwa kocha huyu Kombe ni Lao "kocha mpya wa YANGA ni tishio AFRICA" kutoka Urafansa afunguka Yanga sc wamtangaza kocha mpya huwezi amini waanika CV zake zote ndani ya massa 24,MIGNE FROM FRANCE Huyu ndie mrithi wa Cedric Kaze YANGA Sebastian Migne "kibari cha mzuia kocha mpya Yanga" Hubert?,,, Boss wa kaizer Chiefs ya south Africa awafuata Mukoko Tonombe na Tuisila Kisinda YANGA, dili nono #YangaSc #VPL #SimbaSc #MwaduiFc #VPL #SimbaSc #YangaSc #VPL #BiasharaUnited #SimbaSc #KMCFc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #MichaelJackson #Rayvanny #DiamondPlatnumz #Harmonize #TanzaLiveTv #MiddleSimba #Ebitoke #Tanasha #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam
Mambo 10 nilioyaona Simba vs Dodoma 1: WHAT A MATCH. Tactically, Technically makocha na wachezaji wametupa dakika 90 zilizoshiba. Mechi ya nguvu, kasi na maarifa ya kutosha.. 2: Kocha wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata aliingia na 4-2-4 akiwa na viungo wawili tu katikati ya kiwanja. Watu wanne wa juu wakiwa bora sana kwenye pressing 🙌 Game Plan ilikuwa sahihi, 'Quality' ikatofautisha ubao wa matokeo. Nafasi ambazo Dodoma walizichezea, Simba walizitumia. 3: Dakika 45 za kwanza, Didier Gomes alibaki na sytem ya 4-2-3- 1 lakini akabadili style of Play kidogo. Chama akaenda pembeni, Bwalya akacheza zone ya 14. Timu ikaonekana nzito kidogo 'kulink' kutoka kati kuingia phase ya 3 ya kiwanja. Nini alifanya? 4: Akamtoa Muzamir Yassin akamuingiza Morrison. Chama akarudi kwenye zone ya 14, Bwalya akarudi kati. Timu ikalainika, nafasi zinakapatina. 5: Again, Simba wamethibitisha tena nilichowahi kukisema. Ni timu hatari pindi inaposhambuliwa. Mpinzani akitawanyika wana watu wazuri wa kutega kwenye maeneo ya wazi. Wakiupata mpira.. hawachezi, wanashambulia. 6: CHAMA 🐐.. Damu ya Zambia. mwili wa Hispania. Akili ya Brazil.. Alichobakisha ni kutoa asali na maziwa kwenye miguu yake.. What A Player 🙌 Anaufanya mchezo wa mpira uonekana mrahisi sana. Yuko Sharp kwenye kujitengenezea nafasi na ni mtulivu kwenye maamuzi yake 7: Ule mguu wa kushoto wa Larry Bwalya una 'vision' ya ajabu sana🙌 Ana utulivu sana. Anaimeza presha ya Opponent kwa ustadi wa aina yake. Ile pivot yake na Nyoni inawapa uhakika Simba wa kumiliki mpira kwa muda mwingi wa mchezo 8: Justine Omary🙌 Yule beki wa kati wa Dodoma Jiji.. Ni mpambanaji sana. Ana kimo kizuri, ana nguvu na timing yake ni nzuri sana. Akisukuma kidogo kwenye kutafuta kasi, he is one of the best tunaoweza kuwategemea kwa baadae 9: Miquissone 👍 Katika ubora wake wa kila siku. Dodoma walimpa mechi ngumu akawafunga bao gumu. Ule ndio ubora unaowabeba Simba wanapokuwa katika nyakati ngumu kiwanjani 10: Mkandala 👍 Alipambana sana kumvuruga Muzamir katikati ya kiwanja. Wale mabeki wa pembeni wa Dodoma, George Wawa na Ngalema wamevuja sana jasho. Well done kwao.. Nb: Tar 8 bebeni Tende tu.. Ftari mtaipata KWA MKAPA 😀
Yanga watoa Tamko zito kwa kitendo cha NTIBAZONKIZA,Saido Out! "Yanga ni kubwa kuliko mchezaji" ondo Video:Alicho fanya NTIBAZONKIZA kwa Mwambusi kocha wa Yanga afunguka bifu zito "utovu wa nidhamu",,, Sikia kejeli za Manara baada ya ushindi wa Yanga vs Gwambina (3-1) 'LEO MGUMBA KAPATA MIMBA' fyoko,,Mambo kumi (10) yaliyo onekana katika ushindi wa Yanga 3-1 Gwambina Nchimbi wow! Ntibazonkiza amehar Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 20 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 18 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 17 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 10 April 20/2021 Yanga vs KMC 1-1 :VPL magoli yote Goli la Yacouba Yanga leo |full time Highlights 🔴LIVE:YANGA SC VS KMC FC VODACOM PRIMIER LEAGUE LEO (ROUND 24) Kikosi cha kwanza YANGA leo dhidi ya KMC kwa mkapa,kikosi cha kikatili ushindi lazima Saido,Yacouba Yanga mpya ya Mwambusi balaa,kuanza kazi leo SAIDO, Yacouba ndani Mastaa Yanga wawekewa Mil 20 Mezan Yanga yapata PIGO ZITO wachezaji hawa kuikosa mechi ya kesho dhidi ya KMC kocha athibitisha Kocha wa YANGA aahidi ushindi dhidi ya KMC VPL, afunguka mazito kesho kwetu ni fainali "tutashinda" Kocha wa makipa Yanga awafanyisha mazoezi Metacha na Shikalo wamnyooshea mikono Tazama mazoezi YANGA YATOA TAMKO ZITO KWA TFF ADHABU YA KUMFUNGIA MWAKALEBELA Breaking:Uongozi wa YANGA watoa Tamko zito kuhusu maandamano ya kudai haki kwa TFF,waanika Mapya.... Mchezaji wa YANGA Haruna Niyonzima afunguka kustaafu soka Mapya yaibuka aitaja Timu hii.... Wachezaji wa YANGA wachekelea ujio wa Yusuph Manji, waitambia simba ya Mo, wanao mjua wafunguka YUSUPH MANJI azua gumzo YANGA anarejea na mabillion ya pesa,Mapya yazid kuibuka huwezi amini..... Afisa mhamasishaji wa YANGA Antonio Nugaz amuumbua MANARA "unarembua huyu dem mkali" amjibu kisomi Kocha wa YANGA aunda vikosi vitatu hivi hapa! Wamedhamilia kuchua ubingwa waja na mbinu mpya,,,, Baada ya YANGA kumtangaza kocha wa makipa kutoka Kenya MANARA awaumbua "Air chibonge" Yanga wana.... Shabiki wa YANGA Akili 5000 afichua siri wanao ihujum Yanga na wapo Yanga,MANARA aomba CAG Jangwan Yanga watangaza benchi la Ufundi (benchi la nchi Tano) hii ndo Yanga ya ubingwa tazama Yanga kwa kocha huyu Kombe ni Lao "kocha mpya wa YANGA ni tishio AFRICA" kutoka Urafansa afunguka Yanga sc wamtangaza kocha mpya huwezi amini waanika CV zake zote ndani ya massa 24,MIGNE FROM FRANCE Huyu ndie mrithi wa Cedric Kaze YANGA Sebastian Migne "kibari cha mzuia kocha mpya Yanga" Hubert?,,, Boss wa kaizer Chiefs ya south Africa awafuata Mukoko Tonombe na Tuisila Kisinda YANGA, dili nono Kazi imeanza Mwambusi abadili gia Yanga Kisa ubingwa Ligi kuu Bara,Sarpong,Fiston, Kisinda wanahusik Wadhamini YANGA wamwaga mabillion wawili waongezeka "bill 43.8" waipindua Simba ya Mo (Dangote&Manj) YANGA wafanya jambo lingine kubwa kuliko "wakufunzi wa mpira kutoka South Africa" wapo jangwani... Yanga wafanya maamzi mazito katika usajili Straika kutoka DR CONGO David Molinga arejea Jangwani Baada ya kikao kizito YANGA SC Watoa tamko zito Kuhusu kocha mpya "fagio lapita watatu wabakia" Wachezaji wakimataifa Mukoko Tonombe Niyonzima watimka YANGA Makamu mwenyekiti yanga athibitisha Mifumo ya kocha mpya YANGA yavuja,yambeba Carlinhos Tuisila na Niyonzima,soka lake ni kushambulia #YangaSc #VPL #GwambinaFc #MwaduiFc #VPL #SimbaSc #YangaSc #VPL #BiasharaUnited #SimbaSc #KMCFc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #MichaelJackson #Rayvanny #DiamondPlatnumz #Harmonize #TanzaLiveTv #MiddleSimba #Ebitoke #Tanasha #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam
🔴#LIVE: UCHAMBUZI - YANGA vs GWAMBINA (3 -1) - "YANGA WANA KITU CHA KUONGEZA" NI Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara umechezwa leo Aprili 20, kati ya Yanga SC vs Gwambina FC, katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Yanga kuwashushia Gwambina kichapo cha mabao (3 - 1) yaliyowekwa kimiani na Ditram Nchimbi, Bakari Mwamnyeto na Saido Ntibazonkiza.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA wamepata ushindi wa bao 4-1 dhidi ya AS Vita katika mchezo wao wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo Simba imetinga hatua ya robo fainali ikiwa imefikisha pointi 13 na kuongoza kundi A wakifuatiwa na Al Ahly wenye pointi nane ambao wametoka sare ya bao 2-2 na Al Merreikh. New Content Item (1) Katika kundi hilo, AS Vita na Al Merreikh wameaga mashindano hayo, Vita wamekusanya pointi 4 wakati Al Merreikh wana pointi mbili, timu zote nne zimebakiwa na mechi moja mkononi. Hata hivyo, mechi zilizobaki hata kama Vita na Al Merreikh mmoja wapo akashinda hata kutoka sare hazitaweza kuzifiki Simba na Al Ahly. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Nimepata taarifa za El Merreikh kujumusha wachezaji 3 kwenye mechi vs Simba ingawa walifungiwa miezi 6 baada kusaini kandarasi na vilabu 2 tofauti (El Hilal na El Merreikh) wachezaji hao ni Mohamed AlRashed Mahamoud, Ramadan Agab, Baljit Khamis Mohamed Kwa mujibu wa kanuni ya CAF ya VI(10) timu itakayochezesha mchezaji asiye halali itapoteza mchezo na kuondolewa mashindanoni 👉 Kwa mujibu wa barua ambayo El Merreikh waliyopewa ni wazi kuwa walichezesha wachezaji ambao hawakustahili Hivyo Simba wana haki ya kwenda kushtaki CAF SIMBA huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia wachezaji wawili ambao hawakupaswa kucheza katika mchezo baina yao uliochezwa jijini Khartoum, Jumamosi iliopita ambao uliisha kwa sare tasa. Taarifa za uhakika ambazo uongozi wa Simba umedai kuzinasa kutoka Sudan kwa ushahidi wa nyaraka mbalimbali, zimeonyesha kuwa wachezaji hao Ramadan Agab na mwingine ambaye jina lake wanalisaka, walicheza mechi hiyo huku wakiwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi sita waliyopewa na Chama cha Soka Sudan (SFA) Ushahidi wa barua ambao Simba wameupata na kuionyesha Mwanaspoti nakala, unaonyesha kuwa SFA iliwafungia wachezaji hao kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kusaini mikataba katika timu mbili tofauti, adhabu ambayo inaishia katikati ya Aprili "Hii ni nakala ya uamuzi. Kimsingi wachezaji hao wawili walisaini mikataba miwili tofauti na Al Merrikh na Al Hilal na wamefungiwa kucheza kwa muda wa miezi sita. Barua hii ni ya Katibu Mkuu wa Al Merrikh ambayo walimpa kocha kwamba anaweza kuwatumia wachezaji wawili waliofungiwa. Wachezaji hao hawakucheza mechi yoyote ya Al Merrikh hadi sasa. Wamefungiwa kucheza hadi katikati ya Aprili. Wamefanya uamuzi wao wenyewe," alisema mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Ikiwa itabainika ni kweli Al Merrikh waliwachezesha wachezaji ambao hawakustahili kucheza, itaondolewa mashindanoni "Timu itakayomchezesha mchezaji aliyesimamishwa au asiyeruhusiwa itahesabika imepoteza mchezo husika na moja kwa moja itaondolewa mashindanoni ikiwa kamati ya mashindano ya Caf itajiridhisha na hoja zitakazowasilishwa," inasema kanuni ya saba.
Wachezaji @SimbaSCTanzania Thaddeo Lwanga na Pascal Wawa watakosa mechi ya ijayo dhidi ya @ElMerreikhSDN Dsm wana Yellow Card 2 kila mmoja walizopata(As Vita na El Merreikh). Pia Wachezaji 2 wana Yellow card 1 kila mmoja ni Shomari Kapombe(Simba) na Tajeldin Elnour(El Merreikh.) Sometimes.. Football ni mchezo wa hesabu. Ukizielewa, utaelewa walichokifanya Simba 🦁 Leo mbele ya Al Merrikh Uongozi wa Simba uliwekeza kiwanjani kwa kusajili wachezaji wenye uzoefu na ubora Wakawekeza tena kwenye benchi la Ufundi kwa kuajiri wataalam wenye uzoefu/ubora wa kusoma mbinu za mpinzani na kupata majibu yake Kuna kocha Mkuu Didier Gomes. Kuna Seleman Matola.. Halafu kuna yule Performance analyst kutoka Zimbabwe, Calvin Mavhunga Jopo la watu hawa, ukiongeza na wataalamu wa viungo, ni ishara kuwa Simba ilijiandaa kuwa washindani wa kweli AFRIKA Sina maana kwamba hawatafungwa. Even Barcelona ile ya Pep Guardiola iliwahi kupoteza mechi.. Ninachokimanaisha hapa, Uongozi wa Simba umefanya kazi kubwa ya kuijenga Timu yao msimu huu Robo fainali waliyocheza msimu wa 2018/19 ilikuwa ya 'fluke' tu, ila hii watakayocheza msimu huu (Asilimia 70 wameshafika), Wamejiandaa nayo Haya yanayotokea sasa, hayatokei kwa bahati mbaya. Kuna HATUA UONGOZI WA SIMBA WALIZICHUKUA👍 Hongera kwao @simbasctanzania @moodewji @bvrbvra @crescentius_magori 👏