Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA wamepata ushindi wa bao 4-1 dhidi ya AS Vita katika mchezo wao wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo Simba imetinga hatua ya robo fainali ikiwa imefikisha pointi 13 na kuongoza kundi A wakifuatiwa na Al Ahly wenye pointi nane ambao wametoka sare ya bao 2-2 na Al Merreikh. New Content Item (1) Katika kundi hilo, AS Vita na Al Merreikh wameaga mashindano hayo, Vita wamekusanya pointi 4 wakati Al Merreikh wana pointi mbili, timu zote nne zimebakiwa na mechi moja mkononi. Hata hivyo, mechi zilizobaki hata kama Vita na Al Merreikh mmoja wapo akashinda hata kutoka sare hazitaweza kuzifiki Simba na Al Ahly. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars