UTACHEKA!! SHABIKI SIMBA ATEMA SHOMBO BAADA YA KUWAFUNGA 2-0 DODOMA JIJI KWA MKAPA
UTACHEKA!! SHABIKI SIMBA ATEMA SHOMBO BAADA YA KUWAFUNGA 2-0 DODOMA JIJI KWA MKAPA

✍Simba SC hawakuwa katika ubora ambao wenyewe wangetamani lakini wamevuna alama 3 , katika mechi zote za msimu ngumu mechi zote ucheze kwa kiwango cha juu , muhimu ni kukusanya alama tatu ndio waliciofanya leo dhidi ya Dodoma FC ambao hawakuonesha madhara kwenda mbele . ✍Dodoma FC dakika kama 5 au 10 za mwanzo walianza na BACK 3 lakini wakaibadilisha haraka na kwenda 4-3-3 wakiwa na mpira na 4-4-2 bila mpira , hawakutaka kuzidiwa idadi ya wachezaji katikati ya uwanja na pembeni ya uwanja... lakini bado mara kadhaa waliacha spaces kubwa sana baina ya mstari mmoja na mwingine na mchezaji kwa mchezaji ✍Ni Simba tu wenyewe , Dodoma ni kama vile hawakuwa na mpango au maono ya kutafuta goli, walikuwa tayari kufungwa ( Dodoma was there for taking ) ...Simba hasa kipindi cha kwanza walikuwa slow sana , umakini unakosekana , walikuwa wanacheza kama wanaongoza 3 au 4 , mpira haukutembea kwa haraka kutoka sehemu moja kwenda nyingine ...viungo watatu ( Chama Nyoni Mzamiru ) + mawinga wawili ( Banda na Sakho ) wote wanacheza mbele ya Dodoma ...hakukuwa na mikimbio ya kutosha nyuma ya kiungo cha Dodoma na safu ya ulinzi ya Dodoma ( Easy to defend ) ✍Nafikiri Dodoma walicheza bila imani kwamba wanaweza kufunga au kupata chochote kitu dhidi ya Simba ,kuna muda walikuwa " Casual " sana , jinsi idadi ya mipira waliyokuwa wanapoteza kirahisi , iwe kwenye kiungo mpaka pembeni ya uwanja ( Sloppy ) nafikiri hata Wawa na Onyango wanaweza wakaangaliana na kujiuliza " Hivi leo mbona hatuna kitu cha kuzuia ? " 😀 NOTE 1: George Wawa sijui alikuwa anafikiria nini ? Alijua refa hatomuona kushika mpira kwa staili ile ? Doh 😀😀 na bado akabisha,Chama Jr alituliza akili licha ya wachezaji wa Dodoma kumfanyia " Mind game" 2: Cleophace Mkandala ..amekosa tu msaada kutoka kwa wenzake,maana ndio mchezaji pekee ambaye akiwa na mpira ndio unaona anaweza kufanya jambo. 3: Positive nyingine kwa Simba ukiacha alama 3 ni kurejea kutoka kwenye majeraha baadhi ya wachezaji 4: Peter Banda hakuacha kujaribu kutengeneza nafasi mpaka akapata assist yake kwa Kagere. Never give up 5: Dodoma inaonekana bado inasukwa ..muda unakimbia FT: Simba 2-0 Dodoma FC



LIVE: Simba yaimarisha ulinzi  I  Yanga kunywa supu Jangwani  I  Geita Gold vs Namungo  - 25.02.2022
LIVE: Simba yaimarisha ulinzi I Yanga kunywa supu Jangwani I Geita Gold vs Namungo - 25.02.2022

#kissfmtanzania #simbasc #yangasc #namungofc #geitagoldfc TIME: 16:00 - 19:00hrs Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/kissfmtanzania​ Instagram: https://www.instagram.com/kissfmtanza... Facebook: https://www.facebook.com/kissfmtanzani



TUSKER FC 2-0 ULINZI STARS || TUSKER NDIO INACHUKUA LIGI || MUS JO
TUSKER FC 2-0 ULINZI STARS || TUSKER NDIO INACHUKUA LIGI || MUS JO

#skilztvke Please Share, Like, Subscribe And Click The Notification Bell Remain Blessed.



TUSKER FC 2-0 ULINZI STARS | SUCCESSFUL SEASON FOR TUSKER IS TO WIN THE LEAGUE || MATASI
TUSKER FC 2-0 ULINZI STARS | SUCCESSFUL SEASON FOR TUSKER IS TO WIN THE LEAGUE || MATASI

#skilztvke Please Share, Like, Subscribe And Click The Notification Bell Remain Blessed.



🔴#Live_YANGA TUNAOMBA ULINZI Ahmed Ally ameanza kukonda na Stress YANGA KILA MTU ANAFUNGA Manara
🔴#Live_YANGA TUNAOMBA ULINZI Ahmed Ally ameanza kukonda na Stress YANGA KILA MTU ANAFUNGA Manara

#PolisitanzaniaVs Yanga#Ambundo#Manara#YangaTv#Chama#Usajiliwachama#Yanga#simba#barbara #chamakurudisimba #MsheryYanga#Diarra#simba #barbara #yanga #millardayo #bongostarsearch #Simba #MapokeziYaSimba#KombelaMapinduzi#Yanga#AzamFc#PasiMillion##AzamFc#Yanga#mayele #millardayo #magoliyasimba#simba #barbara #barbara #millardayo #feitoto #simba #AzamFc#Simba#Yanga#Mkude#ahmedAlly#simba #AzamFc#yanga #Sakho#Tepse#MagoliyaSimba#Finalmatch##livestream#mapinduziCup#Yanga#namungo#mayele#mapinduziCup#simbavsnamungolive #yangavsazamfclive #vitukovyamorison #usajilisimba #denisnkane #chama #manara #yanga #sakho #HajiManara #Mapinduzicup#dennisnkane #yangazanzibar #simbazanzibar #allykamwe #uchambuziwaallykamwe #usajilimpya #morison #vitukovyamorrison #MenejawaSimbaSC#PatrickRweyemum#SimbaUsajili#Yanga#Mapinduzi#yanga #simba #bambo#uchambuzi #magoliyasimba#magoliya yanga#mayele #basijipyanamungo #namungo #yanga #usajilimpyayanga #chamakurudisimba #kuahirishwamechiyasimbaleo #uchambuziwacloudstvsimbaleo #uchambuzisimbavskagerasugarleo #kikosichadimbaleo #simba#yanga#hanspope#mangungu #barbara #simba #simbeliveleo #babra #chamakujasimba #jinsiyakuchangiasimba #ujenziuwanjawasimba #mkutanowasimbaleo #chamakurudisimba #conferenceyasimbaleo #simbaleo #magoliyasimba #wachezajiwasimba #makambo#mwinyizahera #mzeewautopolo #yanga #barbara #Jimmy#Sekeli #yanga #ihefu #yangavsihefu ##magoliyamakamboleo #magoliyoteyayanga #uchambuziyangavsihefu #uchambuzileo #asfc #yangavsihefulive #mzeewautopolo #mechiyaleo #mechizaleo #mechiyayangavsihefu #simba #yanga #pasimilioni#mayele #makambo #onyango #simba #jktTanzania #babrawasimba #bongostarsearch2021 #simbavsjktTanzaniaLive #HighlightsyangaIhhefuazamfederationcupazamsport#simbavsjktTanzaniafullhighlights #GolilakibuDennisleo #hajimanaraleo #mzaramowasimbaleo #mangunguleo #mashabikiwasimba #uwanjampyawasimba #simba #jktTanzania #mackyanga #wachezajiwasimbawauguakagera #simbavsjktTanzaniaLive #Magoliyoteyanga #uchambuziyangavsihefu|#AzamSportsFederationCup #simbavsjktTanzaniafullhighlights #GolilakibuDennisleo #mzaramowasimbaleo #mangunguleo #mashabikiwasimba #uwanjampyawasimba #uchambuziwasimbsvsyanga #uchambuziwasimbavsyanga #uchambuziwaoscaroscar #sportsarenawasafitv #activemedia #Golilakibudennis #Mshikeshikeviwanjani #kipyengachamwisho #yanga #mzaramo#mayele #makambo #azamtv #azamtwo #barbara #mzaramowasimba #MasauBwire #bwire #modewji #Uchambuzi#SokaLetu#Yanga#Simba #Oscar#Onyango#Makambo#Mayele #bigsundaylive #makambo #rapbattle #simbavsyangahighlights #Simba#Yanga#KariakooDerby#Wananchi#Mnyama#BM3#Mayele#FeiToto#Mkude#michezo #Georgeambangile #feitoto #huba #juakali #maishamagicbongo #kitasa #ndoano #bondita #kombolela #bekitatu #dstv #kulfi #sinemazetu #azamtwo #azamtv #azamsports #millardayo #GlobalTvoline #millardayo #hubaleojumatatu #hubaleojumanne #hubaleojumatano #hubaleoalhamisi #hubaleoijumaa #juakalileojumatano #juakalileoalhamisi #juakalileoijumaa #kitasaleojumatatu #kitasaleojumanne #kitasaleojumatano #kitasaleoalhamisi #kitasaleoijumaa #bekitatuleojumatat #bekitatuleojumanne #bekitatuleojumatano #bekitatuleoalhamisi #bekitatuleoijumaa #bonditaleojumatatu #bonditaleojumanne #bonditaleojumatano #bonditaleoalhamisi #bonditaleoijumaa #bonditaleojumamosi #bonditaleojumapili #desireLeojumatatu #desireleojumanne #desireleojumatano #desireLeoalhamisi #desireleoijumaa #desireleojumamosi #desireLeojumapili #kombolelaleousikuijumaa #kombolelaleousikujumamosi #kombolelaleousikujumapili #Ndoanoleousikuijumaa #Ndoanoleousikujumamosi #Ndoanoleousikujumapili huba leo jumatatu huba leo jumanne huba leo jumatano huba leo alhamisi huba leo ijumaa juakali leo jumatano juakali leo alhamisi juakali leo ijumaa kitasa leo jumatatu kitasa leo jumanne kitasa leo jumatano kitasa leo alhamisi kitasa leo ijumaa beki tatu leo jumatatu beki tatu leo jumanne beki tatu leo jumatano beki tatu leo alhamisi beki tatu leo ijumaa bondita leo jumatatu bondita leo jumanne bondita leo jumatano bondita leo alhamisi bondita leo ijumaa bondita leo jumamosi bondita leo jumapili desire Leo jumatatu desire Leo jumanne desire Leo jumatano Gwaride la jeshi




« Previous Next »


Popular Tags

#Los Angeles Lakers  #Best Football Defending Skills  #Lionel Messi  #Best Goals  #Derrick Rose  #Gareth Bale  #Michael Jordan  #Zlatan Ibrahimovi  #Sergio Aguero  #Paul Pogba  

Popular Users

#BizNasty2point0  #instagram  #_BAnderson30_  #ddlovato  #kevinlove  #hunterpence  #KimKardashian  #shakira  #imVkohli  #tigerwoods  #RealSkipBayless  #neymarjr  #Ky1eLong  #HEELZiggler  #lindseyvonn