Kakamega Homeboyz iliendeleza uongozi wake kwenye msururu wa ligi kuu ya soka humu nchini baada ya kutoka sare ya mabao mawili kwa mawili dhidi ya AFC Leopards katika uwanja wa taifa wa Nyayo. Kwingineko, wenyeji Bandari waliishinda Ulinzi Stars bao moja kwa sifuri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KPL #football
Former Kenyan Premier League championsGor Mahia failed to secure a spot on top of the league table after a shocking 2-1 loss to Kakamega Homeboyz at the Bukhungu Stadium. In other matches, Ulinzi Stars also secured a comfortable 2-0 win over Vihiga United, as Sofapaka played to a one-all draw with Posta Rangers Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #Gormahia #Football#KenyanPremierLeague
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV DAKIKA 90, zimekamilika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Red Arrows katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mabao mawili ya Bernard Morrison dakika ya 17, 78, na Meddie Kagere dakika ya 19, yametosha kuipa ushindi mnono mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara. Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kufanya mabadiliko ambapo Simba ilimtoa beki Pascal Wawa na nafasi yake ikichukuliwa na Henock Inonga ili kuiongezea nguvu safu ya ulinzi. Kwa upande wa Red Arrow ilifanya mabadiliko kwenye eneo la ushambuliaji akitoka Felix Bulaya na nafasi yake ikichukuliwa na Ricky Banda. Kuingia kwa Inonga kulileta utulivu kwenye eneo hilo kutokana na urefu wake wa kucheza mipira mingi ya kichwa ambayo ilikuwa inatumika kama njia mbadala ya kutafuta mabao. Dakika ya 57, Prosper Chiluya wa Red Arrows alipata kadi nyekundu baada ya kadi mbili za njano na kuendelea kuigharimu timu yake iliyokuwa ikihitaji kusawazisha mabao hayo. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
AFC Leopards was held to a barren draw by KCB in a Football Kenya Federation; FKF Premier League match that was played today at Thika Municipal stadium. Meanwhile, newly-promoted side Kenya Police lost 2-0 to Nairobi City Stars while Ulinzi claimed a 1-0 win over Mathare United. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football #FKFPremierLeague
AFC Leopards ilitoka sare tasa na KCB kwenye mechi ya ligi kuu ya soka humu nchini iliyochezwa leo ugani Thika. Wakati huo huo, Kenya Police iliyopanda ngazi msimu huu ilishindwa mabao mawili kwa nunge na Nairobi City Stars huku Ulinzi Fc ikitwaa ushindi wa bao moja kwa nunge dhidi ya Mathare. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football