🔴Alichokisema Manara baada ya Yanga kuifunga Simba (2-1)Ngao ya Jamii "Makolo Tutawapataka hadi lini Goli la pili la Mayele balaa Yanga vs Simba (2-1)|Final Community shield Darby Highlights Magoli yote Yanga vs Simba (1-1)| Final Community shield Cup Darby Highlights Goli la Sakho 15'min Yanga vs Simba (1-0)| Final Ngao ya Jamii Darby ya Kariakoo Highlights | Darby ya Kariakoo Fainali Kombe la Ngao ya Jamii (Mkapa Stadium) Highlights 🔴Live:Yanga Sc vs Simba Sc | Ngao ya Jamii Darby(Kombe) :Mkapa Stadium 🔴Kocha Nabi Atangaza kikosi cha kwanza kitakachoanza leo dhidi ya Simba (Ngao ya Jamii) kwa mkapa 🔴Mazoezi ya Mwisho ya Yanga ni balaa kuelekea Mchezo wa Darby Simba wajipange Tazama hapa,BM3,Aziz k 🔴Imefichuka usajili wa Mbrazir Yanga Da Silver Jr Frederico Wamemaliza kila kitu,anaekwamisha nihuyu 🔴TFF watoa Tamko zito kwa Yanga, Yanga naowajibu mapigo watuma barua kwa Rais TFF "unawabeba Simba" 🚨TFF watoa Tamko zito Wanaopokea Wageni mechi za Kimataifa Marufuku! Manara ashindwa kuvumilia asema 🔴Live! Sio Tetesi tena🤗🙌RASMI CHUMA KIMETUA YANGA!Usajili wake wavunja record Da Silver Jr toka Braz 🔴Mbrazir Dario Frederico sio siri tena Atua Jangwani Manara Afunguka "Makolo atawalaza na Viatu" 🚨Yanga Hawapoi! Nabi Aongezewa Ngumu safu ya Ulinzi Kitasa Toka Cameroon Herve Ngomo atua YANGA..!! 🔴Yanga baba Lao Hawaja maliza! Wamshusha mbrazir Dario Frederico wabadirishana na Moloko,huyu Mess!! 🚨Hatujamaliza! Rasmi Uongozi wa Yanga watangaza kumsajili Mbrazir DARIO FREDERICO, Moloko ampisha.!! 🚨BREAKING:Caf Rasmi watangaza Ratiba kamili ya Klabu Bingwa! Yanga na Simba kuanza na Vigogo hawa..! Alichokisema Manara baada ya Simba kuingia na Jeneza kwa Mkapa "Tusifike huko wamedhihaki dini"Radhi 🔴Breaking:CAF watoa Ratiba kamili ya klabu bingwa Barani Afrika 2022/23 Yanga na Simba zapangiwa na! Alichokisema Manara baada ya Simba kuifunga St George Sc (2-0) "Makolo wamepiga bomu mochwari" Magoli yote Simba vs st George Sc (2-0)| Friendly match Highlights Goli la Kibu Denis 19'Min Simba vs St George Sc (1-0)| International friendly match Highlights 🔴Live:Simba Sc vs St George Sc | International friendly match (Mkapa Stadium) 🔴Live:Kinachoendelea SIMBA DAY hii ni record kubwa Tazama uwanjani, Umejaa mapema vibe kama ulaya!! 🔴Breaking:Yanga Wamtimua Hasan Bumbuli siafisa habari Tena Manara kuchukua nafasi zote,sababu hizi!! 🔴Alichokisema Manara baada ya Simba kumtambulisha mchezaji mzungu "Mzungu wa mchongo wa Makolo"🤗 🔴Breaking:TFF washusha Rungu nzito kwa Yanga Manara Afungiwa Maisha! Rasi Herse Said aangukia pabaya 🔴Breaking:Simba wazindua Jezi Mpya msimu wa 2022/2023 Hizi balaa Zazua gumzo "Makolo Wamecopy Byuti" 🔴Breaking:Yanga wamtambulisha Cesar Manzoki Achukua namba ya! GSM waipindua meza ya Simba kwa Vipers 🔴Live! Yanga Wamtangaza kocha Pitso Mosimane, Majukumu yake Yanga,Akataa mshahara mkubwa,Project hii 🔴Breaking:Yanga waipiga bao Simba wamtambulisha Cesar Lobi Manzoki usiku huu, Watamba na timu tishio Magoli yote Yanga vs KMC Fc (2-1)| Morrison,Yacouba Mechi ya kirafiki Leo Highlights 🔴Breaking:Zandaani Kabisaa Imevuja Lobi Manzoki ni Mwananchi Injinia Ampokea usiku,Kinara wa Mabao!! 🔴Yanga wakamilisha Usajili wa Cesar Manzoki Baada ya Vipers kutua Tanzania (Yanga day)imebainika 🔴Live! Magoli yote Yanga vs Mtibwa sugar (4-0) | Aziz kii,Morrison,mayele Mchezo kirafiki Highlights 🔴Alichokisema Fabrice Ngoma Atoa Tamko zito "Nakuja Yanga" baada ya kuitema Raja Casablanca..!! 🔴Live! Yanga wanabalaa Utambulisho wa Fabrice Ngoma toka Raja Casablanca balaa waipiku Orlando..!! 🔴Breaking:Kimeumana! Yanga Wamtimua Afisa habari Hasan BUMBULI Kisa kizima hiki hapa,Mrithi wake huy 🔴Breaking:Yanga Watangaza kuondoka kwa CEO SENZO Mbata Mazingiza, Siri ya vuja kilichomuondoa,BM3.!! 🔴Rasmi Yanga wakamilisha usajili wa Fabrice Ngoma toka Raja Casablanca ya Morocco, Herse aonesha..!! 🔴Rasmi Uongozi wa Yanga watambulisha George Mpole Kinara wa mabao NPL,Rais Herse athibitisha..!! 🔴Live! Alichokisema Manara kuhusu Jezi Mpya za Yanga 2022/23 "Makolo Tuleteeni magagulo yenu Tuone"! 🔴Live!Jezi Mpya Yanga zavunja Record baada ya kuzinduliwa (Copy&Paste) Ubora wake,Kimeumana bora za! 🔴Breaking:Hizi hapa Jezi mpya za Yanga hizi ni moto sana,Ni bora kuliko za msimu uliopita,Tazama..!! 🔴Kimeumana! Manara ailipua TFF kwahili kawashika Pabaya "Wajiuzuru mapema" wavuta shisha hadharani 🔴Breaking! Tazama mkataba mpya Yanga waliosaini Mabilioni tuu,Jezi mpya balaa,Rais Herse Kaanza kazi 🔴Live! Yanga hii Ya Nabi Kimataifa washindwe kwa uzembe ila ni Moto Mtazame Aziz kii,Morrison,Aucho! 🔴Breaking:Yanga waingia Mkataba mkubwa wakihistoria na Kampuni hii kubwa,ya Mwaga mabilion ya Pesa!! 🔴Breaking:Kimeumana Sauti ya Siri imevuja Tu Yanga Mechi za Kimataifa,CAF kuingilia kati Yanga vs Mlandege Fc (7-0) | Magoli Yote Azizi Kii,Morrison Mechi ya kirafiki Avic Town Highlights #YangaSc #SimbaSc #NBCPL #CAF #JwanengGalaxy #SMs #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnoc #Bingoonlinemedia #DiamondPlatnumz #Oil
Nyota za Zamani wa Kimataifa wa Cameroon Samuel Eto Amefika Uwanja wa Benjamin Mkapa Kushuhudia Mchezo wa Kufuzu Afcon Baina ya Burundi na Cameroon Mpenja TV Tumeshuhudia kilichojitokeza Wakati Nyota Huyo anatoka Uwanjani #MpenjaTV #SamuelEto #UwanjaWaMkapa #MpenjaTv
Mchezaji wa Zamani wa Cameroon Samuel Eto alikuwepo uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia Mchezo wa Kufuzu Afcon ...
GOR VS AFC LEOPARDS TUSKER FC BANDARI FC ULINZI STARS KAKAMEGA HOMEBOYZ.
MASHABIKI WATAKA KUMPIGA KOCHA MBEYA CITY, ATOLEWA CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI.. KATIKA hali isiyo ya ...
✍Simba SC hawakuwa katika ubora ambao wenyewe wangetamani lakini wamevuna alama 3 , katika mechi zote za msimu ngumu mechi zote ucheze kwa kiwango cha juu , muhimu ni kukusanya alama tatu ndio waliciofanya leo dhidi ya Dodoma FC ambao hawakuonesha madhara kwenda mbele . ✍Dodoma FC dakika kama 5 au 10 za mwanzo walianza na BACK 3 lakini wakaibadilisha haraka na kwenda 4-3-3 wakiwa na mpira na 4-4-2 bila mpira , hawakutaka kuzidiwa idadi ya wachezaji katikati ya uwanja na pembeni ya uwanja... lakini bado mara kadhaa waliacha spaces kubwa sana baina ya mstari mmoja na mwingine na mchezaji kwa mchezaji ✍Ni Simba tu wenyewe , Dodoma ni kama vile hawakuwa na mpango au maono ya kutafuta goli, walikuwa tayari kufungwa ( Dodoma was there for taking ) ...Simba hasa kipindi cha kwanza walikuwa slow sana , umakini unakosekana , walikuwa wanacheza kama wanaongoza 3 au 4 , mpira haukutembea kwa haraka kutoka sehemu moja kwenda nyingine ...viungo watatu ( Chama Nyoni Mzamiru ) + mawinga wawili ( Banda na Sakho ) wote wanacheza mbele ya Dodoma ...hakukuwa na mikimbio ya kutosha nyuma ya kiungo cha Dodoma na safu ya ulinzi ya Dodoma ( Easy to defend ) ✍Nafikiri Dodoma walicheza bila imani kwamba wanaweza kufunga au kupata chochote kitu dhidi ya Simba ,kuna muda walikuwa " Casual " sana , jinsi idadi ya mipira waliyokuwa wanapoteza kirahisi , iwe kwenye kiungo mpaka pembeni ya uwanja ( Sloppy ) nafikiri hata Wawa na Onyango wanaweza wakaangaliana na kujiuliza " Hivi leo mbona hatuna kitu cha kuzuia ? " 😀 NOTE 1: George Wawa sijui alikuwa anafikiria nini ? Alijua refa hatomuona kushika mpira kwa staili ile ? Doh 😀😀 na bado akabisha,Chama Jr alituliza akili licha ya wachezaji wa Dodoma kumfanyia " Mind game" 2: Cleophace Mkandala ..amekosa tu msaada kutoka kwa wenzake,maana ndio mchezaji pekee ambaye akiwa na mpira ndio unaona anaweza kufanya jambo. 3: Positive nyingine kwa Simba ukiacha alama 3 ni kurejea kutoka kwenye majeraha baadhi ya wachezaji 4: Peter Banda hakuacha kujaribu kutengeneza nafasi mpaka akapata assist yake kwa Kagere. Never give up 5: Dodoma inaonekana bado inasukwa ..muda unakimbia FT: Simba 2-0 Dodoma FC