Content removal request!


Kakamega Homeboyz yaendeleza kuongoza ligi kuu ya soka nchini

Kakamega Homeboyz iliendeleza uongozi wake kwenye msururu wa ligi kuu ya soka humu nchini baada ya kutoka sare ya mabao mawili kwa mawili dhidi ya AFC Leopards katika uwanja wa taifa wa Nyayo. Kwingineko, wenyeji Bandari waliishinda Ulinzi Stars bao moja kwa sifuri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KPL #football