MAGOLI YOTE: SIMBA Vs NDANDA FC ( 2 - 0), KAGERE NI BALAA! Ni mtanange wa kukata shoka kati ya Mashetani wekundu wa msimbazi SIMBA SC Dhidi Wana Kuchele NDANDA FC, unaochezwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar.... Mtanange huo umemalizika kwa Simba kuichapa Ndanda mabao 2 - 0 yaliyofungwa na mshambuliaji wake, Meddie Kagere.... #SIMBAVsNDANDA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
SIMBA Vs NDANDA FC: VIKOSI VILIVYOANZA UWANJA WA UHURU! Ni mtanange wa kukata shoka kati ya Mashetani wekundu wa msimbazi SIMBA SC Dhidi Wana Kuchele NDANDA FC, unaochezwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar.... #SIMBAVsNDANDA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja ambao unawakutanisha mabingwa watetezi Simba SC vs Ndanda SC kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Mechi inaanza saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports2 Fuatilia uchambuzi kuelekea mchezo huo tukiwa na Ally Mayay na Dominick Salamba
__ Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. ******************************************* Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FT: Simba 2-0 Ndanda, Kikosi Cha Ndanda Kilivyotua Uhuru Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Timu ya African Lyon ambayo tayari imeshuka daraja, imejiongezea pointi moja baada ya kutoka sare na Mbeya City, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Lyon ndiyo waliotangulia kupata mabao yote mawili kupitia kwa Musht Bartoz dakika ya 21 na Awadhi Juma dakika ya 45+2 lakini Mbeya City walitumia dakika kumi za mwisho kusawazisha kupitia kwa Victor Hangaya dakika ya 82 na Mohamed Kapeta dakika ya 90+5. Matokeo hayo yameifanya Lyon kufikisha pointi 23 ikiwa mkiani mwa msimamo wa ligi huku Mbeya City ikifikisha pointi 47 na kupanda kwa nafasi moja hadi nafasi ya saba sawa na Ndanda SC ambayo imeshuka hadi nafasi ya nane.
Timu ya African Lyon ambayo tayari imeshuka daraja, imejiongezea pointi moja baada ya kutoka sare na Mbeya City, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Lyon ndiyo waliotangulia kupata mabao yote mawili kupitia kwa Musht Bartoz dakika ya 21 na Awadhi Juma dakika ya 45+2 lakini Mbeya City walitumia dakika kumi za mwisho kusawazisha kupitia kwa Victor Hangaya dakika ya 82 na Mohamed Kapeta dakika ya 90+5. Matokeo hayo yameifanya Lyon kufikisha pointi 23 ikiwa mkiani mwa msimamo wa ligi huku Mbeya City ikifikisha pointi 47 na kupanda kwa nafasi moja hadi nafasi ya saba sawa na Ndanda SC ambayo imeshuka hadi nafasi ya nane.
UCHAMBUZI: Mwalimu KASHASHA "Simba Wanacheza Mpira wa Majukwaa" Mchambuzi wa Masuala ya Michezo mwalimu Alex Kashasha amechambua mechi ya Simba VS Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam simba ikiibuka na ushindi wa mbao 3-0. Ushindi huo unairejesha Simba kileleni kwa kuishuhsa Yanga ambayo ilikuwa kileleni baada ya kufikisha jumla ya pointi 83 huku Simba ikifikisha jumla ya pointi 85. Simba wanafikisha jumla ya pointi 84 wakiwa wamefunga jumla ya mabao 72 huku kinara wa upachikaji wa mabao akiwa ni Meddie Kagere mwenye mabao 20 kwa sasa ligi kuu Bara. Simba imebakiwa na michezo minne ili kukamilisha mzunguko wa pili msimu huu ambapo mpaka sasa wamebakiza pointi tano ili kuweza kutetea ubingwa wao. #SIMBAVsMTIBWA #MWALIMUKASHASHA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho