Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja ambao unawakutanisha mabingwa watetezi Simba SC vs Ndanda SC kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Mechi inaanza saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports2 Fuatilia uchambuzi kuelekea mchezo huo tukiwa na Ally Mayay na Dominick Salamba