SIMBA VS MBEYA CITY (4 - 0)  MAGOLI YOTE VPL
SIMBA VS MBEYA CITY (4 - 0) MAGOLI YOTE VPL

SIMBA VS MBEYA CITY (4 - 0) MAGOLI YOTE VPL KIKOSI cha Simba leo kimelipa kisasi cha kupoteza mchezo wake mbele ya Mwadui FC kwa kufungwa bao 1-0 uwanja wa Kambarage kwa kuichapa mabao 4-0 Mbeya City. uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru. Mchezo wa leo ulikuwa ni wa ushindani mkali ambapo iliwalazimu Simba kusubiri mpaka dakika ya 8 kuandika bao la kwanza kupitia kwa Meddie Kagere ambaye alifunga bao hilo kwa penalti baada ya Miaji Athuman kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la 18. Kazi haikuishia hapo zikiwa zimebaki dakika tatu kwenda muda wa mapumziko dakika ya 43 kiungo Clatous Chama alifunga bao la pili akiwa nje ya 18 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu mpira uliomshinda mlinda mlango wa Mbeya City na kuifanya Simba kwenda vyumba vya mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 2-0. Kipindi cha pili Simba ilianza kwa kufanya mabadiliko kwa kumtoa Miraj ambaye nafasi yake ilichukuliwa na Francis Kahata mambo yakazidi kuwa magumu kwa Simba ambapo Mbeya City ilichangamka kutafuta mabao ya kusawazisha huku ikimtumia mshambuliaji wao Peter Mapunda. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li



SIMBA SC 4-0 MBEYA CITY: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 03/11/2019)
SIMBA SC 4-0 MBEYA CITY: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 03/11/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi mkubwa zaidi msimu huu wakiichapa Mbeya City mabao 4-0 kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Medie Kagere kwa penati dakika ya 8, Clatous Chama dakika ya 43, Sharaf Shaiboub dakika ya 78 na Deo Kanda dakika ya 87.



Kocha Mbeya City Afunguka Kufungwa 4-0 na SIMBA Ligi Kuu
Kocha Mbeya City Afunguka Kufungwa 4-0 na SIMBA Ligi Kuu

Kocha wa Klabu ya Mbeya City Juma Mwambusi amefunguka sababu ya kufungwa na simba akisema kuwa wao bado wanajenga timu bado ni wachezaji wachanga. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wamezinduka na kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Simba SC inafikisha pointi 21 baada ya ushindi huo kufuatia kucheza mechi nane, ikishinda saba na kufungwa moja, wakati Mbeya City inabaki na pointi zake nane baada ya kucheza mechi tisa. Simba SC inayofundishwa na kocha Mbelgiji, Patrick Aussems ilipata bao lake la kwanza dakika ya nane kupitia kwa mshambuliaji wa kimataifa w Rwanda, Meddie Kagere aliyefunga kwa penalti baada ya Miraji Athumani ‘Madenge’ kuangushwa kwenye boksi. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars



SIMBA SC-TV ONLINE-SUDAN VS TANZANIA
SIMBA SC-TV ONLINE-SUDAN VS TANZANIA

Simba Sports Club is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums, Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of the two biggest football clubs in Tanzania, their arch-rivals being the Young Africans. The club had several names during its history. When it was founded in 1936, it was called Queens, later Eagles and Dar Sunderland, and in 1971 changed to its current name, Simba (which means lion in Swahili).



SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 13/9/2019)
SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 13/9/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa pili mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara wakiichapa Mtibwa Sugar mabao 2-1 kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Medie Kagere dakika ya 18 na Miraji Athuman dakika ya 69 huku bao pekee la Mtibwa likifungwa na Riphat Khamis Msuya dakika 21. Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha pointi 6 kileleni baada ya kushindi mchezo wake wa kwanza kwenye Uwanja huo wakiichapa JKT mabao 3-1.



Golikipa Aishi Manula alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa jukwaani (SIMBA 2-1 MTIBWA: 13/9/2019)
Golikipa Aishi Manula alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa jukwaani (SIMBA 2-1 MTIBWA: 13/9/2019)

HAPPY BIRTHDAY: Tazama golikipa wa Simba Aishi Manula alivyoamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa baada ya mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar , wakishinda mabao 2-1 kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Toa maoni yako?



SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR, Simba Walivyotua Taifa Kibabe
SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR, Simba Walivyotua Taifa Kibabe

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FULL TIME: SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR Dak ya 90+3, kadinya njano inakwenda kwa Salum Kanoni, dakika za jioni kabisa. Dakika zimeongezwa tatu kumaliza mpira, zimesalia mbili sasa. Dak ya 90, Jonas Mkude anaingia kuchukua nafasi ya Shiboub Dak ya 81, Imepigwa faulo ile kwake Kahata inamkuta na anajaribu kumalizia lakini mpira unamzidi kasi, golikiki. Dak ya 81, Mtibwa wanacheza faulo, inapigwa kuelekezwa langoni kwao, nafasi ya Simba kupata bao la tatu. Dak ya 79, Kahata anaingia kuchukua nafasi ya Chama. Dak ya 77, Kona nyingine kwa Simba, ni baada ya Kapombe kubabatizana na Kapombe. Inapigwa lakini inakuwa golikiki. Dak ya 74, Simba wanaanza tena upya, Yassin kwake Athuman, piga kwake Kado anadaka mpira. Dak 68, Mirajiiiiii, anaifungia Simba bao la pili kwa shuti kali akitoka kupokea pasi nzuri kutoka kwa Shiboub Dak ya 67, Mtibwa wanaonesha jitihada za kulinda zaidi eneo lao na wakifanya mashambulizi ya kushtukiza kwa Simba. Dak ya 63, Simba wamefanya shambulizi la kutisha langoni mwa Mtibwa lakini mawasiliano yamekuwa si mazuri na Mtibwa wanaokoa. Dak ya 62, Miraji Athuman anaingia kuchukua nafasi ya Hassan Dilunga. Dak ya 60, Simba wameanza tena, Chama anachukua, anampasia Nyoni, wanajribu kupenya ngome ya Mtibwa, kwake Kagere lakini Mtibwa wanawadhibiti. Dak ya 57, Tayari Kado ameshasimama na mpira umeshaanza, Simba wanaanza kwa kupasiana vema langoni mwa Mtibwa, unamkuta kwake Chama, anapiga shuti ambalo linapaa nje ya lango. Dak ya 55, Mpira umesimama, Kado ameumia, Kahata naye anaonekana kama anataka kuchukua nafasi ya mtu. Dak ya 52, Kado anaokoa nafasi nyingine kutoka kwa Yassin aliyepata nafasi ya kufunga, kama angekuwa dhaifu angeshafungwa zaidi ya bao mbili. Dak ya 52, Kagere anaotea, anaonekana kulalamika kwa kuonesha ana njaa ya kufunga. Dak ya 49, Aishi Manula anaanzisha upya mashambulizi, ni kipindi cha pili sasa. MAPUMZIKO: SIMBA SC 1-1 MTIBWA SUGAR Dak ya 47, Chama amepiga lakini inakwenda nje. Dak ya 46, Humud anapewa kadi ya njano baada ya kucheza madhambi, ni ya kwanza ndani ya dakika 45 za kwanza, ni faulo. Dak ya 44, Fraga anababatizana na mchezaji wa Mtibwa, mpira unakwena nje, unarushwa kuelekea Mtibwa. Dak ya 42, Tayari Shiboub alishaamka, na zikiwa zimesalia dakika mbili mpira kwenda mapumziko. Dak ya 41, Shiboub anafanyiwa madhambi, na mpira umesimama kwa muda. Dak ya 38, Kanoni anatolewa nje na machela baada ya kuumia, matokeo bado ni 1-1. Dak ya 37, Chamaaaaa, pata nafasi moja maridadi kabisa lakini shuti lake linakwenda moja kwa moja kwa Kado kwa kulidaka. Dak ya 33, Inapigwa lakini inakwenda moja kwa moja kwa Manula ambaye anapangua na kuuelekeza eneo la kati mwa uwanja. Dak ya 32, Mtibwa wanapata faulo, anakwenda kupiga Salum Kanoni, piga mkwaju mkali unapanguliwa na Manula, inakuwa kona. Dak ya 31, Mtibwa wanajichanganya eneo lao la ulinzi, Simba wanaudaka kwake Kagere, bahati si yake. Kipa anadaka. Dak ya 30, ni kona nyingine inapigwa kuelekezwa Mtibwa, anapiga Chama, piga kule lakini inababatizwa na wachezaji wa Simba, golikiki. Dak ya 28, Mpira umesimama kwa muda, mchezaji wa Mtibwa ameumia. Dak ya 27, Offside kwa, mpira unachezwa na Mtibwa. Dak ya 25, Kapombe anapasiana na Chama eneo la kati mwa Uwanja, maelewano yanakuwa si mazuri, na mpira unakuwa golikiki, unaelekezwa Simba. Dak ya 24, Mpira unarushwa kuelekea lango la Mtibwa, ni karibu na eneo la kona, umesharushwa na unatolewa tena. Dak ya 21, Rifat Hamis anaisawazishia Mtibw aSugar kwa mpira wa kichwa ulitokana na kona, ni 1-1. Dak ya 17, Goooli, Meddie Kagere anafunga bao la kwanza baada ya Simba kupasiana vema katika eneo la hatari, sasa ni 1-0. Dak ya 10, Golikiki imetokea upande wa Simba, wanaanza upya kwake Manula. Dak ya 9, Simba wanapata kona ya kwanza,wanapiga lakini inatolewa nje na Mtibwa, wanaenda kurusha, Chama anarusha. Dak ya 7, Simba wanatandaza pasi nzuri kuelekea Mtibwa, kwake Shomari Kapombe, anapiga krosi ambayo inashindwa kuzaa matunda. Dak ya 6, Kado anaokoa mpira uliopigwa na Chama akiwa peke yake, ni nafasi ambayo Simba wamngeshaandika bao. Dak ya 6, Bado Simba wanaonekana kuutawala mchezo zaidi ya Mtibwa kwa dakika hizi sita za mwanzo. Dak ya 4, Simba wanaanza faulo kwa kupasiana, anapiga Nyonii, inaokolewa na mabeki wa Mtibwa. Dak ya 3, Zimbwe Jr anakokotoa mpira na guu la kushoto kushoto mwa uwanja, mchezaji Awadhi Salum wa Mtibwa anashikana mkono, faulo. Dak ya 3, Manula anadaka mpira, anaanzisha mashambulizi upya. Dak ya 2, Rifat Hamis wa Mtibwa anapandisha mashambulizi kwenda Simba, ni la kwanza. Dak ya 1, mechi imeshaanza Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, na Simba wameanza kwa kushambulia kwa kasi lango la Mtibwa. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars



Simba SC vs Mtibwa Sugar 2-1 | Ligi Kuu ya Vodacom | Mechi ya mwisho iliyochezwa
Simba SC vs Mtibwa Sugar 2-1 | Ligi Kuu ya Vodacom | Mechi ya mwisho iliyochezwa

Tafadhali jiunge/ subscribe katika YouTube Channel yangu kwa kubofya hapa: http://www.youtube.com/user/msonobari?sub_confirmation=1 IF YOU LOVE MY WORK 🔥🔥PLEASE SUPPORT ME ON PATREON :🔥🔥https://www.patreon.com/preview/f1059f1f0b424f5580745952410ba331 Simba SC vs Mtibwa Sugar | Ligi Kuu ya Vodacom Simba SC vs Mtibwa Sugar 2-1 | Ligi Kuu ya Vodacom | Mechi ya mwisho iliyochezwa mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,simba sc vs mtibwa sugar 3-0,mtibwa sugar vs simba sc 0-3,goli la meddie kagere,nguvu moja,uwanja wa uhuru,shutikali TV,shutikali TV,shutikali tanzania,tanzania sports,tanzania news,ligi kuu ya vodafon,azam fc,wimbo mpya wa simba,iga ufe this is next level,simba sc leo,matokeo simba,magoli yote,mechi leo,simba sc,matokeo simba,hashtagmpasuamsonobari,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,mpasua msonobari,simba sc, mtibwa sugar,goli la msuya,goli la miraji,goli la miraji athman,goli la meddie kagere,goli la kagere,mpasua msonobari,simba sc,




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Goals Ever  #Lionel Messi  #Los Angeles Lakers  #Football Skills  #Neymar  #Kawhi Leonard  #Stephen Curry  #Paul George  #Anthony Davis  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#rihanna  #Joey7Barton  #tigerwoods  #RSherman_25  #Buster_ESPN  #sydneyleroux  #criscyborg  #Kaepernick7  #themichaelowen  #JLo  #jadande  #steveaustinBSR  #obj  #Cristiano  #CMPunk