Content removal request!


SIMBA VS MBEYA CITY (4 - 0) MAGOLI YOTE VPL

SIMBA VS MBEYA CITY (4 - 0) MAGOLI YOTE VPL KIKOSI cha Simba leo kimelipa kisasi cha kupoteza mchezo wake mbele ya Mwadui FC kwa kufungwa bao 1-0 uwanja wa Kambarage kwa kuichapa mabao 4-0 Mbeya City. uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru. Mchezo wa leo ulikuwa ni wa ushindani mkali ambapo iliwalazimu Simba kusubiri mpaka dakika ya 8 kuandika bao la kwanza kupitia kwa Meddie Kagere ambaye alifunga bao hilo kwa penalti baada ya Miaji Athuman kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la 18. Kazi haikuishia hapo zikiwa zimebaki dakika tatu kwenda muda wa mapumziko dakika ya 43 kiungo Clatous Chama alifunga bao la pili akiwa nje ya 18 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu mpira uliomshinda mlinda mlango wa Mbeya City na kuifanya Simba kwenda vyumba vya mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 2-0. Kipindi cha pili Simba ilianza kwa kufanya mabadiliko kwa kumtoa Miraj ambaye nafasi yake ilichukuliwa na Francis Kahata mambo yakazidi kuwa magumu kwa Simba ambapo Mbeya City ilichangamka kutafuta mabao ya kusawazisha huku ikimtumia mshambuliaji wao Peter Mapunda. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li