Content removal request!


Golikipa Aishi Manula alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa jukwaani (SIMBA 2-1 MTIBWA: 13/9/2019)

HAPPY BIRTHDAY: Tazama golikipa wa Simba Aishi Manula alivyoamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa baada ya mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar , wakishinda mabao 2-1 kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Toa maoni yako?