Content removal request!


SIMBA SC 4-0 MBEYA CITY: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 03/11/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi mkubwa zaidi msimu huu wakiichapa Mbeya City mabao 4-0 kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Medie Kagere kwa penati dakika ya 8, Clatous Chama dakika ya 43, Sharaf Shaiboub dakika ya 78 na Deo Kanda dakika ya 87.