NYOTA WATANO 'OUT', SIMBA V MTIBWA SUGAR LEO LEO Uwanja wa Uhuru, timu ya Simba itawakaribisha Mtibwa Sugar ikiwa ni mchezo wa pili kwa kila timu kucheza msimu huu mpya wa 2019/20. ...
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefurahi na kusema wachezaji wake walicheza kama watoto, licha ya ushindi wa mabao 3-1 ilioupata timu yake dhidi ya JKT Tanzania juzi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilipata ushindi huo katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Aussems alisema anaamini kikosi chake kilistahili kushinda idadi kubwa zaidi ya mabao katika mchezo huo, lakini kutokana na umakini mdogo wa wachezaji wake wakapata matokeo waliyopata. “Tumepata ushindi wa mabao 3-1, matokeo ambayo sijaridhishwa nayo kutokana na aina ya wachezaji nilioa nao kikosini, tulitakiwa kufunga mabao manne hadi sita lakini makosa ya kitoto waliyofanya yamesababisha tupate tulichopata,” alisema. Alipoulizwa sababu ya kuwatumia wachezaji ambao baadhi wamekuwa wakianzia benchi alijibu kuwa alifanya hivyo kutokana na wengine kusumbuliwa na majeraha. Aussems alisema wanaanza upya na kuachana na matokeo ya nyuma baada ya timu yake kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya awali na timu ya UD Songo ya Msumbiji. Wekundu hao walifungashiwa virago, baada ya kulazimisha suluhu ugenini jijini Beira, kisha kutoka sare ya bao 1-1 , Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yaliifanya UD Songo isonge mbele kwa faida ya bao la ugenini. Aussems alisema amewatengeneza wachezaji wake kisaikolojia ili wasahau yaliyopita na kuwekeza akili zao kuhakikisha wanapata matokeo mazuri Ligi Kuu na kutetea ubingwa wao. “Tulihuzunika kwani haikuwa rahisi kupokea matokeo yale, lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea, hata hivyo tumesahau yaliyopita na sasa macho na nguvu zetu zote tumehamishia Ligi Kuu,” alisema. Simba inashika nafasi ya pili wa Ligi Kuu, ikiwa na pointi tatu, sawa na Lipuli, Azam, Kagera Sugar, Namungo, Mwadui, Polisi Tanzania na Ruvu Shooting, zikitofautiana kwa wastani wa mabao ya kufunga na kufungwa.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameanza vema harakati za kulitetea taji hilo kwa kuichapa JKT Tanzania mabao 3-1 kwenye Dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na Medie Kagere aliyefunga mawili dakika ya 2 na 59, pamoja na Miraji Athuman dakika ya 74 huku Edward Songo akiifungia JKT bao pekee dakika ya 87. Mara baada ya mchezo, beki wa JKT Michael Aidan amesema kilichowamaliza nguvu ni bao la mapema la Simba ambalo limefanya wabadili mipango waliyoingia nayo. Kwa upande wake Nahodha wa Simba kwenye mchezo wa leo Mohamed Hussein akikiri kuwa kwa sasa morali ndani ya kikosi hicho iko chini lakini amewapongeza wachezaji wenzake kwa ushindi kwani utasaidia kupandisha ari ya kikosi. Baada ya kumalizika kwa raundi ya kwanza, Simba inakamata nafasi ya pili nyuma ya Lipuli FC na mbele ya Kagera Sugar, timu zote zikiwa na pointi tatu huku tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa ikiwa ni mbili.
KOCHA SIMBA - "WACHEZAJI Walikuwa WANALIA Tu, Walikata TAMAA / Kila Mtu Anauliza WABRAZIL Tu" Kikosi cha timu ya Simba kimefanikiwa kuanza ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania. Mechi hiyo imepigwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na mamia ya mashabiki wakijitokeza kwenye uwanja huo. https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda, Meddi Kagere alikaribia kufunga hat trick katika mechi ya kwanza baada ya kufunga mabao mawili, huku lingine likifungwa na Miraj Athumani ‘Madenge’ aliyerejeshwa kikosini msimu huu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Simba SC: Aishi Manula, Haruna Shamte, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Tairone Santos, Gerson Fraga, Deogratius Kanda/Miraj Athumani dk60, Muzamil Yassin, Meddie Kagere, Hassan Dilunga/Sharaf Shiboub dk71 na Clatous Chama/Ibrahim Ajibu dk78. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, #SimbaSC wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya #JKTTanzania jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. #EdwardSongo Kikosi cha JKT Tanzania kilikuwa; Abdulrahman Mohammed, Madenge Ramadhani/Michael Aidan dk64, Edward Charles, Mohammed Fakh, Rahim Juma, Jabir Aziz, Mwinyi Kazimoto, Hafidh Mussa, Hassan Matalema/Said Luyaya dk79, Danny Lyanga na Ally Bilal/EdwardSongo dk62. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
President Uhuru Kenyatta has called out Starehe MP Charles Njagua on his remarks regarding foreigners working in Kenya. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co .ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya