SAMMATA SKILLS AND GOALS COMBINATION WITH MESUT OZIL
SAMMATA SKILLS AND GOALS COMBINATION WITH MESUT OZIL

Watch Mbwana Samata skills and beautiful goals ,you will enjoy it PLEASE SUBSCRIBE FOR MORE .



MBWANA SAMATA aitwa Newcastle united kwa £8.5 Milion, Galatasaray nao wamtaka SAMATTA
MBWANA SAMATA aitwa Newcastle united kwa £8.5 Milion, Galatasaray nao wamtaka SAMATTA

Mapya kuhusu nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, Kwamba klabu ya Galatasaray ya nchini Uturuki inampango wa kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta endapo klabu ya Aston Villa itashuka daraja mwishoni mwa msimu huu. ( Chanzo ni Sport Witness ) Wakati huohuo klabu ya Newcastle United kupitia kocha wake Steve Bruce waandaa kiasi cha £8.5 Millions kumsajili Mbwana Samatta mwisho wa msimu huu endapo klabu ya Aston Villa itakubali dau hilo. ( Chanzo ni HITC.Com ) #MbwanaSamatta #Samatta #Samata #AstonVilla #SamattaNewcastle #SamataGalatasaray



LIBYA VS TANZANIA (2-1) - VIBE la Mashabiki wa STARS Kabla ya Mchezo..
LIBYA VS TANZANIA (2-1) - VIBE la Mashabiki wa STARS Kabla ya Mchezo..

LIBYA VS TANZANIA (2-1) - VIBE la Mashabiki wa STARS Kabla ya Mchezo.. MWAMUZI wa kati ya timu ya taifa ya Tanzania iliyokuwa inamenyana na Libya nchini Tunsia leo amebeba furaha ya mashabiki kwa kufanya maamuzi yasiyo ya kungwana mbele ya Stars nchini Tunisia. Mchezo wa leo umekamilika kwa Stars kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 licha ya kuanza kufunga bao la kwanza dakika ya 18 kwa mkwaju wa penalti kupitia Mbwana Samata baada ya Msuva kuchezewa rafu. Dakika ya 68 mwamuzi alitoa penalti ya kungaunga kwa Libya jambo lililowavunja moyo wapambanaji wa Stars kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya Afcn nchini Tunisia na bao likapachikwa na Sand Masoud dakika ya 68 ambaye alipiga penalti. Dakika ya 81 zikiwa zimebaki dakika 9 mpira kukamilika Anias Saltou aliandika bao la pili akiwa ndani ya 18 kutokana na safu ya ulinzi kufanya makosa ya wazi. Mchezaji wao tegemeo kwa Libya, Hamdou Mohamed alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 87. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...] HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li



Tanzania vs Burundi 1-1 (3-0) | FIFA World Cup African Qualifiers 2022 | Goals & Highlights
Tanzania vs Burundi 1-1 (3-0) | FIFA World Cup African Qualifiers 2022 | Goals & Highlights

Tanzania vs Burundi 1-1 (3-0) | FIFA World Cup African Qualifiers 2022 | Goals & Highlights. Tanzania qualified for the next round of 2022 World Cup qualifying after a penalties win over Burundi in Dar es Salaam on Sunday. The teams, who both featured at the recent Africa Cup of Nations in Egypt, went into the second leg of the first round tie level on 1-1 from Wednesday's first leg. Tanzania seized the advantage after 29 minutes when Mbwana Samata struck to make it 2-1 overall but Burundi fought back with Fiston Abdul Razak grabbing an equaliser just before the break. That made it 1-1 on the day and 2-2 on aggregate. The deadlock could not be broken in the second half or in extra-time with the tie going to a penalty shoot-out. Tanzania look assured as they struck their first three penalties cleanly but Burundi failed to convert theirs with captain Saido Berahino amongst those to miss from the spot. It gave Tanzania a 3-0 penalties victory and put them into the next round with Burundi eliminated at the first round stage. Tanzania made heavy weather of their tie against Burundi after drawing 1-1 away in the first leg last Wednesday. They were ahead in Sunday's return leg in Dar-es-Salaam through Belgian-based Mbwana Samatta but gave up an equaliser to Fiston Abdul Razak on the stroke of halftime. The match then went into extra time before Burundi missed all their kicks in the post-match penalty shootout, which Tanzania won 3-0. Tanzania’s penalty shootout victory over Burundi was the highlight of Africa’s World Cup qualifying schedule on Sunday, as the Taifa Stars progressed to the Second Round of the Caf campaign. The two Cecafa sides were tied 1-1 after the first leg showdown in Bujumbura on Thursday, and played out the same scoreline against after Fiston Abdul Razak cancelled out Mbwana Samatta’s opener. Despite an open extra time in which both sides had chances to progress, the match went to penalties, with the hosts winning 3-0 after Les Hirondelles missed all three spot kicks. FIFA World Cup African Qualifiers 2022 Tanzania vs Burundi 1-1 (3-0) Saturday, 8th.09.2019



Simba SC vs Mwadui FC
Simba SC vs Mwadui FC

KIKOSI KAMILI CHA SIMBA SC VS MWADUI FC LEO #SimbaVsMwaduiLeo #simbaLeo #SimbanaMwadui #Samata #Samatta



Taifa Stars yarejea kutoka Uganda, Samatta asema bao alilokosa limemnyima usingizi
Taifa Stars yarejea kutoka Uganda, Samatta asema bao alilokosa limemnyima usingizi

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imerejea leo Jijini Dar es Salaam kutoka nchini Uganda ilikokuwa kwaajili ya mchezo wa kufuzu fainali za AFCON dhidi ya Uganda (The Cranes) mchezo uliochezwa jana Septemba 8, 2018 na kumalizika kwa suluhu. Mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, nahodha wa timu hiyo Mbwana Samata, amesema hajapata usingizi baada ya kukosa goli la wazi kwenye mchezo huo huku akiwaomba radhi Watanzania. Katika mchezo huo, Samatta akiwa yeye na mlinda mlango Denis Onyango alikosa nafasi hiyo muhimu kwa Taifa Stars mchezo ukimalizika kwa suluhu. Mbali na Samatta, wachezaji wengine pia wa timu hiyo wamezungumza akiwemo Hassan Kessy, Agrey Moris na Aishi Manula. Naye kocha wa timu hiyo Emmanuel Amunike amewapongeza wachezaji kwa kucheza vizuri. Wakati huohuo Timu ya Taifa ya Lesotho imelazimishwa sare ya goli 1-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Cape Verde katika mchezo uliochezwa Jumapili hii huko Maseru nchini Lesotho Matokeo hayo yametoa nafuu kwa Taifa Stars ambayo ipo kundi moja na timu hizo. Kundi L linaongozwa na Uganda yenye point 4, wakifutiwa na Lesotho wenye point 2, Stars point 2 na Cape Verde wakiburuza mkia wakiwa na alama 1.



Algeria/VS/ Tanzania/All Goals & Extended Highlights - HD
Algeria/VS/ Tanzania/All Goals & Extended Highlights - HD

Algeria/VS/ Tanzania/All Goals & Extended Highlights - HD Algeria/VS/ Tanzania/All Goals & Extended Highlights - HD ⏬⏬⏬⏬⏬ الرجاء الاشترك بالقناة .|SUBSCRIBE| |COMMENT| .✌ ⏬⏬⏬⏬⏬ ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ஜ۩ تابعنا على ۩ஜ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ If you like the video do not forget to subscribe to the channel and share it with your friends to get you new in the world of sports and all the Maidwar in the world of the round إذا أعجبك الفيديو لا تنسى الإشتراك في القناة ومشاركته مع أصدقائك ليصلك الجديد في عالم الرياضة وكل مايدوار في عالم المستديرة ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ஜ۩ تابعنا على ۩ஜ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Algeria Tanzania - algeria vs tanzania. here is our preview for algeria vs tanzania for madjer's first match of 2018... goli zuri la tanzania (taifa stars) na algeria. tanzania taifa stars vs algeria dar es salaam tanzania to win a chance for world cup competition at russia 2018 at a first round. algerie vs tanzania 2-2 buts complet algeria 2015. algerie vs tanzanie 7 0 تعليق حفيظ الدراجي. algeria vs tanzania: preview. algeria vs tanzania mchezo wa kirafiki -kikosi taifa stars, mbwana samata na msuva ndani. ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ஜ۩ تابعنا على ۩ஜ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬




« Previous Next »


Popular Tags

#Goal Celebrations  #Best Goalkeeper Saves  #Zlatan Ibrahimovi  #Shot Goals  #Stephen Curry  #Best Ball Controls  #Best Goals Ever  #Cleveland Cavaliers  #Russell Westbrook  #Football Defensive Skills  

Popular Users

#richarddeitsch  #BBCBreaking  #BarackObama  #JLo  #ddlovato  #AdamSchefter  #rioferdy5  #b_ryan9  #narendramodi  #JohnCena  #ATLHawks  #DanicaPatrick  #SrBachchan  #TimTebow  #iamsrk