Content removal request!


MBWANA SAMATA aitwa Newcastle united kwa £8.5 Milion, Galatasaray nao wamtaka SAMATTA

Mapya kuhusu nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, Kwamba klabu ya Galatasaray ya nchini Uturuki inampango wa kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta endapo klabu ya Aston Villa itashuka daraja mwishoni mwa msimu huu. ( Chanzo ni Sport Witness ) Wakati huohuo klabu ya Newcastle United kupitia kocha wake Steve Bruce waandaa kiasi cha £8.5 Millions kumsajili Mbwana Samatta mwisho wa msimu huu endapo klabu ya Aston Villa itakubali dau hilo. ( Chanzo ni HITC.Com ) #MbwanaSamatta #Samatta #Samata #AstonVilla #SamattaNewcastle #SamataGalatasaray