#simbasc #simbatanzania #simbatv #simbascfanstzaupdates #usajilimpyasimba #usajilileo #usajilisimbasc #usajiliyangasc #moodewji #ahmedyally #simbakimataifa #kombelashirikishoafrica #robofainali #Yanga #Yangasc #Yangatv #usajilimpyayanga #usajili #usajiliwayangasc #kinzumbi #Enghersi #yangaleo #Yangascmedia #yangaapp #Magoli #Azamtv #yanga #alikamwe #simbasc #simbatanzania #simbatv #simbascfanstzaupdates #usajilimpyasimba #usajilileo #usajilisimbasc #usajiliyangasc #moodewji #ahmedyally #simbakimataifa #kombelashirikishoafrica #robofainali #Yanga #Yangasc #Yangatv #usajilimpyayanga #usajili #usajiliwayangasc #kinzumbi #Enghersi #yangaleo #Yangascmedia #yangaapp #Magoli #Azamtv #yanga #alikamwe #maxnzengeli #maxzengelisimba #feitoto #feitotosimba #azamtv #kikosichayanga #kikosichasimba #ligikuu #millardayo #mpenjatv #rockmedia #winnermedia
DODOMA JIJI FC YAVUNJA MWIKO WA YANGA SC/ DUBE, MWAMNYETO & MASALANGA WAPEWA LAWAMA KIPIGO CHA YANGA SC/ SIMBA SC UBINGWA WASHINDWE WAO MSIMU HUU.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC wamepoteza mchezo kwa mara ya kwanza msimu huu, wakichapwa 3-2 na Dodoma Jiji, mchezo, mchezo ukipigwa Airtel Stadium, Singida. Magoli ya Yanga yamefungwa na Allan Okello dakika ya 2 na 41, huku magoli ya Dodoma Jiji yakitoka kwa Bakari Mwamnyeto aliyejifunga dakika ya 29, Mwana Kibuta David dakika ya 90 na Wazir Junior Shemtembo dakika za nyongeza. Haya hapa magoli yote..