๐Ÿ›‘#LIVE YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI AZIZ KI, KOUTIAMA KOMBO NA WENGINE HAWA, YAACHANA NA HAWA WOTE 12
๐Ÿ›‘#LIVE YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI AZIZ KI, KOUTIAMA KOMBO NA WENGINE HAWA, YAACHANA NA HAWA WOTE 12

#Yangasc #Tetesizausajili #UsajilimpyaYangasc Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Juma Abushir AKA Messi wa Chuga Miaka 18 attacking midfield kutoka Fountain Gate alihitajika krc Genk ,yanga wametoa Milion 100 kuvunja mkataba na atalipwa mshahara wa Milion 5 Kila mwezi kutoka kulipwa Laki 6 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United deal done 4. Azizi Ki wanasubiri avunje mkataba na Al Ittihad 5.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ,Samba Konรฉ (23) โœ…Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. โŒKone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 6. Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 7. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 8. Idd Nado kutoka Azam FC Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja ๐ŸŸข๐ŸŸก HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA SC ๐Ÿ”ฐ 1.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra 2.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Yao Kouassi 3.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Chadrack Boka 4.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Frank Assink 5.๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Balla Contรฉ 6.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Duke Abuya 7.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Maxi Nzengeli 8.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mohamed Doumbia 9.๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Laurindo Depu 10.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Allan Okello 11.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua 12.๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฒ Buba Jammeh 13.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Lassine Kouma 14.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Cรฉlestin Ecua



JKT Tanzania 0-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/06/2026
JKT Tanzania 0-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/06/2026

Yanga SC imehitimisha msimu wa Ligi Kuuya NBC 2025/26 kwa kishindo, ikiichapa JKT Tanzania mabao 3-0 kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na kutwaa ubingwa wa tano mfululizo. Magoli yamefungwa na Prince Dube, Maxi Nzengeli na Laurindo Dilson Maria Depu.



Yanga 3-0 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 24/06/2026
Yanga 3-0 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 24/06/2026

Yanga SC imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, kwa kuwachapa Azam FC mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Magoli ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Abdullah 'Bacca', Laurindo Dilson Depu, na Pacome Zouzoua. Hii ni Ligi Kuu ya NBC, raundi ya 28 (bado mbili tu) Tazama highlights



Magoli | Yanga SC 3-0 Azam FC | NBC Premier League 24/06/2026
Magoli | Yanga SC 3-0 Azam FC | NBC Premier League 24/06/2026

Yanga SC imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, kwa kuwachapa Azam FC mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Magoli ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Abdullah 'Bacca', Laurindo Dilson Depu, na Pacome Zouzoua. Haya hapa magoli yote...




Next »


Popular Tags

#Boston Celtics  #James Harden  #Gareth Bale  #Kobe Bryant  #Goalkeeper Saves  #Paul George  #Gareth Bale  #Michael Jordan  #Chicago Bulls  #Amazing Solo Goals  

Popular Users

#TheRealJRSmith  #rioferdy5  #NiallOfficial  #PMOIndia  #SportsCenter  #billsimmons  #obj  #StephenCurry30  #RealSkipBayless  #WWE  #MieshaTate  #DwyaneWade  #neymarjr  #cnnbrk