Leo April 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea 🏟Katika Dimba la Mkwakwani Tanga🔥🔥ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal Union dhidi ya Mabingwa Watetezi Simba Sc…. Itakuwaje leo Mugalu, Sakho Kufanya kama walivyofanya Kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika??.. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechi…. Mpenja Tv tupo hapa Uwanja wa Mkwakwani Tanga Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #Simbasc #coastalunion #CoastalUnionvsSimbasc #MkwakwaniStadium #SimbaSc #MpenjaTv
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri #Bonatv #Exclusive
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri KOCHA GENDARMERIE AKUBARI MUZIKI WA SIMBA /AWAPA TAHADHARI WANAO FUATA/AKUBALI SHOO YA MUGALU #Bonatv #Exclusive
Mnyama Simba leo April 03, 2022, anatupa karata ya mwisho ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya US Gendarmerie ya Niger, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mpenja TV, tuko Dimba la Mkapa kukupata habari zote za kabla na baada ya mechi kwa Weledi wa hali ya juu kabisa. Tafadhali endelea kabaki na sisi…. #SimbaSCvsRUSGendarmerie #Simba #USGendarmerie #KombeLaShirikishoAfrica #BenjaminMkapaStadium #CAF #MpenjaTV
Leo machi 24 2022 Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Msemaji wa Simba Sports Club Ahmed Ally kuhusu tetesi za kurejea mchezaji wao wa Zamani Ambaye kwa sasa anakipiga kwa Mafarao wa Misri Al Ahly Luis Jose Miquisone . . Je Miquisone atarejea Simba?, Fungua video hii #SimbaSc #YangaSc #MpenjaTv
KIKOSI cha SIMBA KILIVYOTUA DAR BAADA ya KUPIGWA na MBEYA CITY, MANULA, MUGALU.. Kikosi cha Simba tayari kimewasili Dar kikitokea Mbeya, katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbeya City, ambapo Simba ilikubali kichapo cha Bao moja kutoka kwa wenyeji wao Mbeya City. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline