Leo machi 24 2022 Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Msemaji wa Simba Sports Club Ahmed Ally kuhusu tetesi za kurejea mchezaji wao wa Zamani Ambaye kwa sasa anakipiga kwa Mafarao wa Misri Al Ahly Luis Jose Miquisone . . Je Miquisone atarejea Simba?, Fungua video hii #SimbaSc #YangaSc #MpenjaTv