Mnyama Simba leo April 03, 2022, anatupa karata ya mwisho ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya US Gendarmerie ya Niger, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mpenja TV, tuko Dimba la Mkapa kukupata habari zote za kabla na baada ya mechi kwa Weledi wa hali ya juu kabisa. Tafadhali endelea kabaki na sisi…. #SimbaSCvsRUSGendarmerie #Simba #USGendarmerie #KombeLaShirikishoAfrica #BenjaminMkapaStadium #CAF #MpenjaTV