MIQUISSONE KURUDI SIMBA? Ahmed Ally Aleza Mpango  Mzima/ Aishi Manula Aongezewa Mkataba Mnono
MIQUISSONE KURUDI SIMBA? Ahmed Ally Aleza Mpango Mzima/ Aishi Manula Aongezewa Mkataba Mnono

#Bmtvtanzania #LuisMiquissone SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



AHMEDY ALLY AMEFANIKIWA/MPANGO WA SIMBA SC UWE DAKIKA 180 SIO 90/WAKIFANYA HIVI WATAPITA-ALLY KAMWE
AHMEDY ALLY AMEFANIKIWA/MPANGO WA SIMBA SC UWE DAKIKA 180 SIO 90/WAKIFANYA HIVI WATAPITA-ALLY KAMWE

Leo April 15 2022, Mpenja Tv Tunakusogezea mahojiano maalumu na Mchambuzi wa Azam Tv, Ally Kamwe Maarufu kama Mzee Wa Mambo 10 kuhuzi safari ya Simba Sports Club Kimataifa. . Fungua Video hii kupata uhondo wote wa mahojiano haya yaliyofanywa na Alwatan Abdulazeez Kontawa. . #simbasc #allykamwe #mpenjatv #cafcc



#LIVE: Mpango wa ujenzi uwanja wa Simba uko hivi | Mo atoa tamko | Yanga wajibu mapigo
#LIVE: Mpango wa ujenzi uwanja wa Simba uko hivi | Mo atoa tamko | Yanga wajibu mapigo

LIVE: Mpango wa ujenzi wa uwanja wa Simba uko hivi | Mo atoa tamko | Yanga wajibu mapigo #EastAfricaRadio ...



EXCLUSIVE: MAISHA YA HAJI MANARA, KUZALIWA AMSTERDAM, WAKE WATATU, MSHAHARA MPYA, KUGOMBEA 2025 N.K
EXCLUSIVE: MAISHA YA HAJI MANARA, KUZALIWA AMSTERDAM, WAKE WATATU, MSHAHARA MPYA, KUGOMBEA 2025 N.K

Ulikua unafahamu kwamba Msemaji mpya wa Yanga Haji Manara hakuzaliwa Tanzania bali Uholanzi? nini kilisababisha akazaliwa huko? maisha baada ya hapo? Wake watatu? alivyoanza kazi ya Utangazaji na kusoma South Africa na China? mshahara mpya Yanga? anasemaje kuhusu kauli yake ya kitambo kwamba hawezi kuhamia Yanga hata iweje? unafahamu kuhusu mpango wake wa kugombea Uongozi mwaka 2025? hiyo ni sehemu ya maelezo machache sana kati ya mambo mengi aliyoyaongea kwenye hii EXCLUSIVE..



IMEVUJA: MAKAMBO AMALIZANA NA YANGA/ HOROYA YATEPETA MAPEMA/ KUTUA NCHINI WAKATI WOWOTE
IMEVUJA: MAKAMBO AMALIZANA NA YANGA/ HOROYA YATEPETA MAPEMA/ KUTUA NCHINI WAKATI WOWOTE

Makambo ni kama amechoka maisha ya Guinea akiwa na klabu ya AC Horoya iliyomnunua miaka mitatu iliyopita akitokea Yanga na sasa yuko tayari kurejea tena Jangwani kuendelea kuwajaza kama alivyofanya wakati akikiwasha chini ya kocha Mwinyi Zahera. Young Africans itasajili mastraika wawili wazuri ukiwa ndio mpango namba moja wa mabosi wa timu hiyo iliyo chini ya Kocha Nasreddin Nabi, na jina la Makambo linaonekana kuzidi kung’aa katika msako wa mabosi hao wa klabu hiyo ambayo usiku wa jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Mwadui katika mechi ya Ligi Kuu. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #makambo #usajiliyangasc



Simba yafunguka inavyojifua Afrika Kusini kuikabili Kaizer Chiefs, CEO aahidi bonas
Simba yafunguka inavyojifua Afrika Kusini kuikabili Kaizer Chiefs, CEO aahidi bonas

"Siku moja kabla ya mechi tutakaa nao na kuwaeleza bonas watakayopata" - CEO wa Simba, Barbara Gonzalez aweka wazi mpango wa bonas kwa wachezaji kuelekea mechi ya robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs, huku Kocha Msaidizi wa timu hiyo akizungumzia maandalizi ya kikosi kiufundi. Mechi ni Mei 15 saa 1:00 usiku. #SimbaSC #BarbaraGonzalez #SelemanMatola #SimbaAfrikaKusini Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



KOCHA NDANDA- "MI SIJAZIDIWA na SIMBA  ni MPANGO  WANGU wa MECHI"
KOCHA NDANDA- "MI SIJAZIDIWA na SIMBA ni MPANGO WANGU wa MECHI"

KOCHA NDANDA- "MI SIJAZIDIWA na SIMBA ni MPANGO WANGU wa MECHI" Kocha wa clabu ya Ndanda amekana kuzidiwa na Clabu ya simba kimchezo ambapo amesema kuwa hakuzidiwa bali ilikuwa ni mpango wake wa mchezo kutokana na kwamba amekaa kwa muda mfupi sana na timu jambo ambalo ni ngumu kushindana na simba , ikumbukwe kuwa ndanda leo tarehe 1 disemba wamepoteza dhidi Simba kwa goli 1 kwa bila GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list..




« Previous Next »


Popular Tags

#Stephen Curry  #Stephen Curry  #Allen Iverson  #Philadelphia 76ers  #Zlatan Ibrahimovi  #Paul George  #Tristan Thompson  #Boston Celtics  #Thomas Muller  #Best Champions League  

Popular Users

#THNRyanKennedy  #LAKings  #rolopez42  #HEELZiggler  #elonmusk  #iamsrk  #fauxpelini  #MichelleDBeadle  #britneyspears  #rihanna  #dougferguson405  #rogerfederer  #BizNasty2point0  #oldhossradbourn