KOCHA NDANDA- "MI SIJAZIDIWA na SIMBA ni MPANGO WANGU wa MECHI" Kocha wa clabu ya Ndanda amekana kuzidiwa na Clabu ya simba kimchezo ambapo amesema kuwa hakuzidiwa bali ilikuwa ni mpango wake wa mchezo kutokana na kwamba amekaa kwa muda mfupi sana na timu jambo ambalo ni ngumu kushindana na simba , ikumbukwe kuwa ndanda leo tarehe 1 disemba wamepoteza dhidi Simba kwa goli 1 kwa bila GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list..