#UchambuziKimbinu #Simba #CafCL TANGAZA NA SOCCERDATA KWA BEI NAFUU: Tangaza Nasi ili uweze kuwafikia Mamilioni ya Watu kwa Wakati mmoja. Kwa Mawasiliano: PIGA: 0710 679 388, WhatsApp 0742 679 388 Email: sekwaomwendi24@gmail.com, P.O BOX 60 Gairo, Morogoro. JE UNGEPENDA KUI-SUPPORT SOCCERDATA? Kwa wewe ambaye Ungependa Kuichangia SoccerData kama Sehemu ya Kuisapoti ili iendelee kukuletea Uchambuzi wa Kina na wa kiufundi zaidi, Unaruhusiwa kufanya hivyo kama sehemu ya kutuunga Mkono. MCHANGO WAKO NI MUHIMU KATIKA KUKULETEA UCHAMBUZI BORA ZAIDI. ICHANGIE SOCCERDATA KUPITIA: TigoPesa: 0710 679 388. BARIKIWA SANA. Tazama Playlist za SoccerData zenye video zote: 1. Habari za Simba: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrLBhBC4TtRZOL950O4LKPcR 2. Habari za Yanga: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrK9xowD9th9XEXndCG-wleh 3. Habari za SoccerData: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJNqJ5hm-2ciTDDOytLsWAS 4. Stori za Soccer: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJLvsf_h0SV8wt1osZaELmD Tufuate katika kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii Facebook: SoccerData Instagram: SoccerData_Tanzania Goli la Ndemla SIMBA VS KAGERA na Counter Attacks https://youtu.be/g9Xud6hRLDU
Goli pekee la Riphat Msuya limeipa Mtibwa Sugar pointi tatu muhimu katika ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Tazama matukio yote muhimu kutoka kwenye mechi hiyo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mtibwa Sugar wameitandika KMC bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Goli pekee la Mtibwa limefungwa na Salum Kihimbwa dakika ya 20. Huu ni uchambuzi baada ya mechi hiyo. Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Timu ya Mtibwa Sugar leo imefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC, goli pekee likifungwa na Riphat Khamis Msuya dakika ya 7. Ni mechi ya ligi kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli pekee la Hamad Wazir Majimengi lilitosha kuipa Coastal Union ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa Novemba 5, 2020 kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Tazama highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#SIMBAvsKAGERA #Ndemla #Analysis TANGAZA NA SOCCERDATA KWA BEI NAFUU: Tangaza Nasi ili uweze kuwafikia Mamilioni ya Watu kwa Wakati mmoja. Kwa Mawasiliano: PIGA: 0710 679 388, WhatsApp 0742 679 388 Email: sekwaomwendi24@gmail.com, P.O BOX 60 Gairo, Morogoro. JE UNGEPENDA KUI-SUPPORT SOCCERDATA? Kwa wewe ambaye Ungependa Kuichangia SoccerData kama Sehemu ya Kuisapoti ili iendelee kukuletea Uchambuzi wa Kina na wa kiufundi zaidi, Unaruhusiwa kufanya hivyo kama sehemu ya kutuunga Mkono. MCHANGO WAKO NI MUHIMU KATIKA KUKULETEA UCHAMBUZI BORA ZAIDI. ICHANGIE SOCCERDATA KUPITIA: TigoPesa: 0710 679 388. BARIKIWA SANA. Tazama Playlist za SoccerData zenye video zote: 1. Habari za Simba: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrLBhBC4TtRZOL950O4LKPcR 2. Habari za Yanga: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrK9xowD9th9XEXndCG-wleh 3. Habari za SoccerData: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJNqJ5hm-2ciTDDOytLsWAS 4. Stori za Soccer: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJLvsf_h0SV8wt1osZaELmD Tufuate katika kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii Facebook: SoccerData Instagram: SoccerData_Tanzania
Azam FC wamekutana na mshangao baada ya kupigwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Goli pekee kwenye mchezo huo limefungwa na Jaffary Kibaya dakika ya 62. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
🔴#LIVE: MTIBWA vs AZAM FC ( 1 - 0) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa JAMUHURI MOROGORO.... Ni dakika 90 za mtanange wa Ligi Kuu Tanzania bara kati wa walima sukari, Mtibwa Sugar vs Azam FC, zinachezwa katika dimba la Jamuhuri mjini Morogoro... Dakika 90 hizo zimemalizika kwa wenyeji Mtibwa kumchapa Muuza ukwaju Azam bao (1 - 0) lililowekwa kimiani na Jaffary Kibaya... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline