Timu ya Mtibwa Sugar imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Goli pekee la Mtibwa limefungwa na Salum Kihimbwa dakika ya 5 ya mchezo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz