Content removal request!


Mtibwa Sugar 0-2 Gwambina FC | Highlights | VPL 07/03/2021

Mtibwa Sugar imeendelea kuwa katika hali ngumu baada ya kukutana na kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Gwambina FC ikiwa nyumbani kwake, Uwanja wa Jamhuri Morogoro. Magoli ya Gwambina kwenye mchezo huu wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa Machi 7, 2021 yalifungwa na Paul Nonga pamoja na Hamad Nassor. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz