Content removal request!


Magoli | Mtibwa Sugar 2-0 Mbeya City | VPL 18/05/2021

Magoli ya Kelvin Kongwe Sabato na George Makang'a yameipa Mtibwa Sugar ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz