"Hatujamaliza tuna mechi tena nyingine" sehemu ya maneno ya mfungaji wa goli la Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ...
Leo Januari 29/2022 ni hapa hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa Mabingwa watetezi Kombe la Shirikisho la Azam Sports Yanga Sc wanawakaribisha Rhino Rangers katika Mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports hatua ya 32 bora… . Mpenja Tv tupo Kwa Mkapa kukuletea Matukio yote yanayoendelea
Tazama hali ilivyokuwa katika mechi ya NBC Premier League kati ya Singida Big Stars dhidi ya Azam FC Mfungaji wa bao ni ...
Mchambuzi wa Soka kutoka TVE na Efm, Tigana lukinja Ameuchambua kiundani Mchezo wa leo wa ligi kuu ya NBC kati ya ...
Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga ambaye amebobea kwenye Soka la Afrika,amechambua kiundani Wasifu wa Mshambuliaji Mpya wa Simba SC Jean othos Baleke. Amezungumzia pia Ushindani atakaouleta dhidi ya Mshambuliaji wa Yanga SC,Fiston Mayele na Ligi kuu kwa Ujumla.
Tazama mambo yalivyokuwa Simba SC ikichapwa bao 0-1 na Mlandege FC, Mfungaji ni Abubakar Mwadin. Ni Mapindizi Cup ...