MIRAJI AWACHEKA MASHABIKI WA SIMBA WALIWAAMINI AZAM KUIFUNGA YANGA WAKATI UWEZO WAO MDOGO KWA YANGA🤣| GOLI LA 3 LA AZIZ LAMKOSHA MIRAJI
Leo Agosti 23 kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Bingwa Mtetezi wa Ligi Kuu ya NBC Yanga Sc inamkaribisha KMC Fc Majira ya Saa 1:00 Usiku. Mpenja Tv tayari tumetia Timu kwaajili ya kukuletea Matukio yote kuhusu Mechi hiyo…