Nahodha wa Mbeya City Peter Mapunda na beki wake Rolland Msanjo wameonekana kutofautiana na kurushiana maneno uwanjani, wakati wa mechi dhidi ya Mbao FC iliyopigwa jana Machi 10, 2020 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Baada ya zogo hilo, kadi nyekundu ikatoka kwa Peter Mapunda. Hebu tazama midomo yao, halafu sema, unadhani tatizo lilikuwa nini? Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli pekee la Nahodha Peter Mapunda kwa mkwaju wa penati limeipa ushindi wa 1-0 timu ya Mbeya City dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, Machi 10, 2020. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► http://play.google.com/store/apps/det... Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
SUBSCRIBE HAPO JUU Ligi kuu Tanzania bara imeendelea kwa mechi kadhaa ambapo katika uwanja wa Nyamagana dearby ya Mwanza imemalizika kwa team zote kutoshana nguvu ya gori moja kwa moja. Ambapo kocha msaidizi wa Mbao fc Abdulmutik Haji amemlalamikia mwamzi wa mchezo huo. tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
Timu ya Alliance FC na Mbao FC zote za Jijini Mwanza zimetoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu, kwenye Uwanja wa Nyamagana. Mbao wamefunga kwa penati kupitia kwa Datius Peter wakati Alliance wakisawazisha kupitia kwa Sameer Vicent. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► http://play.google.com/store/apps/details… Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba Sports Club, wamezoa alama zote sita jijini Mwanza baada ya leo kuishushia kipigo kizito cha mabao 4-1 Alliance FC katika uwanja wa CCM Kirumba. Ushindi wa Simba, umepatikana ikiwa zimepita siku tatu tu, tangu waifunge Mbao FC, mabao mawili kwa moja kwenye uwanja huo huo wa CCM Kirumba. Waliotikisa vyavu leo kwa Simba ni Jonas Mkude, Medie Kagere, Clatous Chama na Hassan Dilunga, huku Alliance FC wikifunga kupitia kwa Israel Patrick Mwenda. Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa wakati Simba akiwararua Alliance FC. #SimbaSC #AlliancevSimba #LigiKuuTanzania ALLIANCE FC 1-4 SIMBA SC | HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 19/01/2020)