Nahodha wa Mbeya City Peter Mapunda na beki wake Rolland Msanjo wameonekana kutofautiana na kurushiana maneno uwanjani, wakati wa mechi dhidi ya Mbao FC iliyopigwa jana Machi 10, 2020 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Baada ya zogo hilo, kadi nyekundu ikatoka kwa Peter Mapunda. Hebu tazama midomo yao, halafu sema, unadhani tatizo lilikuwa nini? Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz