Timu ya Alliance FC na Mbao FC zote za Jijini Mwanza zimetoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu, kwenye Uwanja wa Nyamagana. Mbao wamefunga kwa penati kupitia kwa Datius Peter wakati Alliance wakisawazisha kupitia kwa Sameer Vicent. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► http://play.google.com/store/apps/details… Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz