Content removal request!


Penati iliyowapa Mbeya City bao pekee la ushindi dhidi ya Mbao FC

Goli pekee la Nahodha Peter Mapunda kwa mkwaju wa penati limeipa ushindi wa 1-0 timu ya Mbeya City dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, Machi 10, 2020. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz