MBAO Vs SIMBA (1-2) - KOCHA Atoa KAULI, Mashabiki Wapandwa na MIZUKA.. Mtanange wa ligi kuu kati ya Mbao Vs Simba, umemalizika kwa Simba kuichapa Mbao (2-1) na kujinyakulia alama tatu muhimu.. Baada ya kumalizika kwa mtanange huo, Kocha mpya wa Simba na mashabiki wakazungumza juu ya namna walivyouona mchezo.. GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
MAGOLI: MBAO FC 1-2 SIMBA SC Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Simba yamefungwa na Hassan Dilunga dakika ya 42, na Jonas Mkude dakika 47 huku bao pekee la Mbao likifungwa na Wazir Junior dakika ya 53. Tazama magoli yenyewe. Je, lipi kali zaidi?
Kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Mbao FC imepata ushindi wa bao 1-0, likifungwa na beki wake Yakubu Mohamed dakika ya 15, huku Mbao wakipoteza mkwaju wa penati kupitia kwa Wazir Jr.
TAIFA STARS WALIVYOTINGA UWANJANI KIBABE TAIFA stars leo imeanza vema michuano ya Afcon kwa kuibuka kidedea mbele ya timu ya Equatorial Guinea kwa kupata ushindi wa mabao 2-1 mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa. Stars iliyo chini ya Etienne Ndayiragije ilianza kwa kasi kipindi cha kwanza haikuweza kutumia vema nafasi saba za kipindi cha kwanza na kuruhusu wapinzani wao Equatorial Guinea kuandika bao la kwanza dakika ya 15 kupitia kwa Pedro Obiang liliwapeleka Stars mapumziko wakiwa nyuma kwa mbao huo uliofungwa nje ya 18. Kipindi cha pili Stars ilianza kwa kulazimisha mashambulizi na iliwapeleka mpaka dakika ya 68 ambapo Simon Msuva aliandika bao la kwanza akimalizia pasi ya Mohamed Hussein 'Tshabalala' na kuweka mzani sawa. Salum Abubakari alimaliza ile fujo isiyoumiza dakika 90 kwa kulipa mbao wa Obiang akiwa nje ya 18 kwa kuachia mshuti wake wenye uzito uliomshinda mlinda mlango wa Equatorial Guinea akimalizia pasi ya Ditram Nchimbi. Ushindi huo unaifanya Stars kujikusanyia pointi zake tatu leo ikiwa kwenye uwanja wa Taifa. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li