GOLI LA PILI LA SIMBA LILILOFUNGWA NA JONAS MKUDE MAGOLI: MBAO FC 1-2 SIMBA SC Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Simba yamefungwa na Hassan Dilunga dakika ya 42, na Jonas Mkude dakika 47 huku bao pekee la Mbao likifungwa na Wazir Junior dakika ya 53. Tazama magoli yenyewe. Je, lipi kali zaidi