Kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Mbao FC imepata ushindi wa bao 1-0, likifungwa na beki wake Yakubu Mohamed dakika ya 15, huku Mbao wakipoteza mkwaju wa penati kupitia kwa Wazir Jr.
TAIFA STARS WALIVYOTINGA UWANJANI KIBABE TAIFA stars leo imeanza vema michuano ya Afcon kwa kuibuka kidedea mbele ya timu ya Equatorial Guinea kwa kupata ushindi wa mabao 2-1 mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa. Stars iliyo chini ya Etienne Ndayiragije ilianza kwa kasi kipindi cha kwanza haikuweza kutumia vema nafasi saba za kipindi cha kwanza na kuruhusu wapinzani wao Equatorial Guinea kuandika bao la kwanza dakika ya 15 kupitia kwa Pedro Obiang liliwapeleka Stars mapumziko wakiwa nyuma kwa mbao huo uliofungwa nje ya 18. Kipindi cha pili Stars ilianza kwa kulazimisha mashambulizi na iliwapeleka mpaka dakika ya 68 ambapo Simon Msuva aliandika bao la kwanza akimalizia pasi ya Mohamed Hussein 'Tshabalala' na kuweka mzani sawa. Salum Abubakari alimaliza ile fujo isiyoumiza dakika 90 kwa kulipa mbao wa Obiang akiwa nje ya 18 kwa kuachia mshuti wake wenye uzito uliomshinda mlinda mlango wa Equatorial Guinea akimalizia pasi ya Ditram Nchimbi. Ushindi huo unaifanya Stars kujikusanyia pointi zake tatu leo ikiwa kwenye uwanja wa Taifa. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
HALF-TIME | Mpira ni mapumziko kwenye viwanja vyote sita. HT: Mtibwa Sugar 0-0 Mwadui FC HT: Polisi Tanzania 0-0 Mbao FC HT: Namungo FC 1-0 Ruvu Shooting (Nzigamasabo Styve 45’) HT: Coastal Union 0-1 Alliance FC (Geofrey Luseke 32’) HT: JKT Tanzania 1-0 Mbeya City (Adam Adam 22’) HT: Lipuli FC 2-0 Singida United (Paul Nonga 23’, Daluesh Saliboko 43’) #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPL #VPLUpdates
MATOKEO #VPL FT | Simba SC 4-0 Mbeya City FT | Coastal Union 1-2 Mbao FC. FT | JKT Tanzania 0-1 Tanzania Prisons. FT | Polisi Tanzania 1-0 Alliance FC FT | Ndanda SC 2-0 Ruvu Shooting #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #LigiKuuTanzaniaBara
Entertainment|Sports |Fashion & Exclusive contact with us via voicekitaatv@gmail.com http://facebook.com/voicekitaa https://www.instagram.com/voicekitaa.tv/ #YangaSc #MbaoFc
Mechi za leo ni: Ndanda SC vs Mtibwa Sugar. Mbao FC vs Ruvu Shooting. Namungo FC vs Lipuli FC Tanzania Prisons vs Kagera Sugar. Matangazo haya pia yapo LIVE kupitia #AzamSports2