⚽️ Mashujaa 🆚 Mbeya City 🤔MBEYA CITY wanabidi washinde ile wabaki ligi kuu , Je watatoboa ❓ 📱Beti mechi kali hii na uweze kutusua mkwanja MREFU #SportPesaUshindiMwingi
Kivumbi kipo uwanja wa lake Tanganyika hii leo ni play off ya kwanza ya kupanda ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2023-2024."Mashujaa Fc anataka kupanda huku Mbeya City anataka kubaki".
Mashabiki na Wanachama wa Yanga SC,wamekusanyika makao Makuu ya Klabu Jangwani kwenye 'BIG SCREEN' kushuhudia ...
Shangwe la Mashabiki wa Klabu ya Simba Sc baada ya kutinga hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika licha ya kupoteza Mchezo kwa Magoli mawili kwa moja ambapo mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mashujaa Lusaka, Zambia FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #KochaPablo #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Pablo Franco amezungumza na wanahabari baada ya kutinga hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika licha ya kupoteza Mchezo kwa Magoli mawili kwa moja mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mashujaa Lusaka, Zambia FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #KochaPablo #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv
Mpenja TV tumefanya mahojiano na Mchambuzi mahiri wa Azam TV, Ally Mayay Tembele, akizungumzia kiwango cha Simba, Ubora wa Simba Sc katika mchezo wa leo Desemba 5, 2021 dhidi ya Red Arrows ambao umechezwa uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka, Zambia. FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #Allykamwe #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv
Mpenja TV tumefanya mahojiano na Mchambuzi mahiri wa Azam TV, Ally Kamwe, akizungumzia kiwango cha Simba katika mchezo wa leo Desemba 5, 2021 dhidi ya Red Arrows ambao umechezwa uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka, Zambia. FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #Allykamwe #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv