KAGERA SUGAR 2- 0 PAMBA SC: FULL  HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (PLAYOFF - 8/6/2019)
KAGERA SUGAR 2- 0 PAMBA SC: FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (PLAYOFF - 8/6/2019)

Kagera Sugar wamefanikiwa kusalia ligi kuu baada ya kuwafunga Pamba magoli 2-0 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Ally Ramadhan na Japhet Makalai ndiyo mashujaa wa Kagera ndiyo waliokuwa mashujaa kwani yao ya dakika ya 51 na 79 ndiyo yaliyoibakiza timu hiyo kwenye ligi kuu msimu ujao. Akizungumza kwa kujiamini kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime amesema alijua kuwa timu yake ingebaki ligi kuu na kwamba hakua na hofu hata kidogo, wakati kocha wa Pamba Ali Omar Kisaka yeye amesema vijana wameshindwa kutumia nafasi.



EXCLUSIVE: Wachezaji Stars 'watema nyongo' kilichosababisha wafungwe Cape Verde
EXCLUSIVE: Wachezaji Stars 'watema nyongo' kilichosababisha wafungwe Cape Verde

Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars wameeleza sababu za kiufundi zilizopelekea mashujaa wa Tanzania kupoteza mchezo wa ugenini dhidi ya Cape Verde kwenye harakati za kufuzu kwa fainali za Afcon mwaka 2019. Wasikilize




« Previous


Popular Tags

#Amazing Solo Goals  #Shot Goals  #Best Goals  #Luis Suarez  #Counter Attack Goals Football  #Best Ball Controls  #Shaquille O'Neal  #Zlatan Ibrahimovi  #Neymar  #Paul Pogba  

Popular Users

#britneyspears  #NASA  #JLo  #criscyborg  #richarddeitsch  #themichaelowen  #RyanBabel  #SportsCenter  #narendramodi  #baseballpro  #Drake  #TheNotoriousMMA  #MieshaTate  #MichelleDBeadle  #TimTebow