KAY MZIWANDA: NISAMEHEWE MIMI KWA WOTE WALIO MKATAA ONANA/AYOUB LAKRED ANADAKA MPAKA DUA/LEO MAMBO..
KAY MZIWANDA: NISAMEHEWE MIMI KWA WOTE WALIO MKATAA ONANA/AYOUB LAKRED ANADAKA MPAKA DUA/LEO MAMBO..

Leo Disemba 19 2023, Unapigwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Athletic Club majira ya Saa 10 Jioni. Mpenja Tv tunakuletea mfululizo wa matukio yote muhimu kabla na hata baada ya Mechi hiyo.

ALLY KAMWE ABEBWA KAMA MFALME/CAF WANGETUSHANGAA KAMA TUSINGEWAFUNGA SIMBA/SHEREHE  WIKI NZIMA
ALLY KAMWE ABEBWA KAMA MFALME/CAF WANGETUSHANGAA KAMA TUSINGEWAFUNGA SIMBA/SHEREHE WIKI NZIMA

Leo Novemba 05 mchezo mkubwa wa Ligi kuu ya NBC kati ya Simba SC na Yanga SC "Kariakoo Dabi " unapigwa katika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam majira ya saa 11 jioni. Mpenja Tv tupo Benjamin Mkapa Kukuletea matukio yote muhimu kuhusu mchezo huu mkubwa kabla na hata baada ya Mechi.

BARAKA MPENJA AMVULIA KOFIA AZIZ KI/"ANA MGUU WA DHAHABU/FEITOTO ALIKUWA BORA SANA.
BARAKA MPENJA AMVULIA KOFIA AZIZ KI/"ANA MGUU WA DHAHABU/FEITOTO ALIKUWA BORA SANA.

Hii leo Tarehe 23 mwezi October ni derby ya Dar es Salaam inayo wakutanisha Yanga Sc dhidi ya Azam Fc katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni. Matukio yote muhimu kuhusu mchezo huu wa Ligi kuu ya NBC utayapata kupitia Mpenja Tv kabla na hata baada ya mechi.

YANGA NI TIMU BORA TANZANIA/KAZE ALIFELI KUFANYA MABADILIKO/SIMBA IIGE KWA YANGA KUJITANGAZA
YANGA NI TIMU BORA TANZANIA/KAZE ALIFELI KUFANYA MABADILIKO/SIMBA IIGE KWA YANGA KUJITANGAZA

Leo Sep 20 ndani ya Azam Complex kunapigwa Mchezo mkubwa wa Ligi Kuu ya NBC mwenyeji ni Yanga huku Namungo FC 'Southern killers' akiwa mgeni wa Mchezo huo. Mchezo utaanza majira ya saa 1:00 za Usiku kwa saa za Afrika Mashariki, dakika 90 za nguvu zinazosimamisha shughuli za Wanamichezo na utulivu wote kuhamia Azam Complex. Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote na Habari zinazojiri kabla na baada ya Mchezo huo kumalizika.

ALLY KAMWE AMPA ZA USO MASAU BWIRE/"KUNA MTU ATAKULA GOLI KUMI/AMTAJA PACOME/SKUDU
ALLY KAMWE AMPA ZA USO MASAU BWIRE/"KUNA MTU ATAKULA GOLI KUMI/AMTAJA PACOME/SKUDU

Leo tarehe 29 Agosti katika dimba la Azam Complex Chamazi inapigwa mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara kati ya mwenyeji Yanga dhidi JKT Tanzania majira ya saa 1 usiku Mpenja Tv tupo Chamazi kuhakikisha unayapata matukio yote muhimu kuhusiana na mechi hii

ALLY KAMWE: "KOCHA AMETUOMBA MSAMAHA KWA USHINDI MDOGO/KUNA MTU ATAPIGWA 10/TUMEZINDUA LIGI"
ALLY KAMWE: "KOCHA AMETUOMBA MSAMAHA KWA USHINDI MDOGO/KUNA MTU ATAPIGWA 10/TUMEZINDUA LIGI"

Leo Agosti 23 kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Bingwa Mtetezi wa Ligi Kuu ya NBC Yanga Sc inamkaribisha KMC Fc Majira ya Saa 1:00 Usiku. Mpenja Tv tayari tumetia Timu kwaajili ya kukuletea Matukio yote kuhusu Mechi hiyo…

ALLY KAMWE AMPA JINA JIPYA PACOME/"PROFESA WA MPIRA/UKUTA WETU HAUTIKISIKI/POLENI SANA AZAM FC"
ALLY KAMWE AMPA JINA JIPYA PACOME/"PROFESA WA MPIRA/UKUTA WETU HAUTIKISIKI/POLENI SANA AZAM FC"

Leo Tarehe 20 Agosti,Simba Sc ikiwa Nyumbani inamkaribisha Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es salaam Majira ya Saa 10:00 Jioni ikiwa ni Ligi Kuu ya NBC. Mpenja Tv tayari tuko Mubashara kukuletea Mfululizo wa Mechi hiyo…

HASHEEM IBWE AWAPONGEZA SIMBA/AWAVAA MASHABIKI WA YANGA WALIOMZOMEA FEITOTO/"ANAPENDA SANA KUZOMEWA"
HASHEEM IBWE AWAPONGEZA SIMBA/AWAVAA MASHABIKI WA YANGA WALIOMZOMEA FEITOTO/"ANAPENDA SANA KUZOMEWA"

Leo August 13 2023,katika Dimba la Mkwakwani jijini Tanga inapigwa mbungi ya Fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kati ya Yanga SC na Simba SC,Saa Moja Usiku. Huku majira ya Saa 9 Alasiri ukupigwa Mchezo wa Kutafuta Mshindi wa 3 kati ya Azam FC dhidi ya Singida Fountain Gate FC Mpenja TV tunakuletea taarifa za matukio yote yatakayojiri kwenye mbungi hiyo.

Next »

Popular Tags

#Paul Pogba  #Kawhi Leonard  #Cleveland Cavaliers  #Ronaldinho  #Paul Pogba  #David Silva  #James Harden  #Best Goals Ever  #Russell Westbrook  #Gareth Bale  

Popular Users

#TheChristinaKim  #WWE  #SteveNash  #CP3  #rihanna  #Oprah  #NASA  #realDonaldTrump  #tigerwoods  #lindseyvonn  #cesc4official  #JayBilas  #b_ryan9