USO KWA USO MAYELE AKUTANA NA PACHA WAKE/AAHIDI KUMPA ZAWADI KUBWA/PACHA WA MAYELE APAGAWA/UPENDO TU
USO KWA USO MAYELE AKUTANA NA PACHA WAKE/AAHIDI KUMPA ZAWADI KUBWA/PACHA WA MAYELE APAGAWA/UPENDO TU

Leo Agosti 22 2022 Mpenja Tv tunakuletea mahojiano na Straika wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele na Shabiki wa Yanga ambaye anafanana naye anayejulikana kwa jina la Issa Mohammed kutoka Tabora maarufu Mayele wa Mchongo. Fungua Video hii kusikia walichozungumza. #FistonMayele #MayeleWaMchongo #MpenjaTV

MPAKA HOME KWA FEISAL SALUM, MAMA MZAZI AFUNGUKA MAZITO/DADA NA KAKA ZAKE WAKOSHWA NA UJIKO WA FEI.
MPAKA HOME KWA FEISAL SALUM, MAMA MZAZI AFUNGUKA MAZITO/DADA NA KAKA ZAKE WAKOSHWA NA UJIKO WA FEI.

Leo Agosti 2 2022 Mpenja Tv tunakuletea mahojiano na familia ya Mchezaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah maarufu kama Fei Toto. . Mama mzazi wa Feisal amezungumza mengi ndani ya Mahojiano haya. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii. .

HUYU HAPA AMUNIKE WA TANZANIA AICHAMBUA MECHI YA STARS Vs SOMALIA
HUYU HAPA AMUNIKE WA TANZANIA AICHAMBUA MECHI YA STARS Vs SOMALIA

Mchambuzi wa mpira maarufu kama Amonike wa Tanzania amechambua mechi baada ya matokeo ya stars Vs Somalia, baada ...

NAWAPONGEZA YANGA/SIMBA HAWANA MAAJABU/MTIBWA SUGAR IS BACK NBC/TUTACHUKUA UBINGWA - SUPER SINYO
NAWAPONGEZA YANGA/SIMBA HAWANA MAAJABU/MTIBWA SUGAR IS BACK NBC/TUTACHUKUA UBINGWA - SUPER SINYO

Shabiki wa Mtibwa Sugar,Suleiman Nassor Maarufu SUPER CINHO Ametoa Maoni yake baada ya Timu yake Kucheza Play Off ...

AHMEDY ALLY AMEFANIKIWA/MPANGO WA SIMBA SC UWE DAKIKA 180 SIO 90/WAKIFANYA HIVI WATAPITA-ALLY KAMWE
AHMEDY ALLY AMEFANIKIWA/MPANGO WA SIMBA SC UWE DAKIKA 180 SIO 90/WAKIFANYA HIVI WATAPITA-ALLY KAMWE

Leo April 15 2022, Mpenja Tv Tunakusogezea mahojiano maalumu na Mchambuzi wa Azam Tv, Ally Kamwe Maarufu kama Mzee Wa Mambo 10 kuhuzi safari ya Simba Sports Club Kimataifa. . Fungua Video hii kupata uhondo wote wa mahojiano haya yaliyofanywa na Alwatan Abdulazeez Kontawa. . #simbasc #allykamwe #mpenjatv #cafcc

MASAU BWIRE AFIKA MSIBANI KWA ALLY SONSO/AELEZA SABABU ZA UMAUTI WA ALLY SONSO.
MASAU BWIRE AFIKA MSIBANI KWA ALLY SONSO/AELEZA SABABU ZA UMAUTI WA ALLY SONSO.

Leo Febuari 11 2022 Mpenja Tv tumekuwekea Matukio yanayoendelea kwenye Msiba wa Aliyekuwa Mchezaji wa Ruvu Shooting, Kagera Sugar na Yanga Ally Mtoni Al Maarufu kama Ally Sonso. . Tumefika Msibani Magomeni Kondoa kukuletea kila kinachojiri. . Fungua video hii kupata habari kamili. . #ripallysonso #ruvushooting #mpenjatv

Tambo za SIMBA ULAYA | Ataka mashabiki wanyoe makwapa | "Watasema SIMBA ya TFF"
Tambo za SIMBA ULAYA | Ataka mashabiki wanyoe makwapa | "Watasema SIMBA ya TFF"

Shabiki wa simba, Msafiri maarufu kama 'Simba Ulaya' ameelezea mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza na amefunguka ...

WOOW! BARAKA MPENJA ASHINDANA LIVE KUTANGAZA MPIRA NA MTOTO ADIL SAAD ‘ADIL YANGA’/AFUNIKWA VIBAYA
WOOW! BARAKA MPENJA ASHINDANA LIVE KUTANGAZA MPIRA NA MTOTO ADIL SAAD ‘ADIL YANGA’/AFUNIKWA VIBAYA

Hatmaye Mtangazaji Mwandamizi wa soka wa Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi, ametimiza ahadi yake ya kukutana LIVE na Mtoto shabiki wa Yanga, Adil Saad Maarufu ‘Adil Yanga’ ambaye ana kipaji kikubwa cha Kutangaza mpira wa Miguu. Adil naye ametimiza ndoto ya kuonana na shujaa wake na mtu wa mfano kwake (Role Model), Baraka Mpenja. Mpenja TV imewakutanisha wawili hao Februari 5, 2022 muda mfupi baada ya mechi ya ligi kuu ya NBC kati ya Yanga na Mbeya City kumalizika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es salaam. Enjoy mahojiano haya…… #BarakaMpenjaVsAdilYanga #AdilSaad #YangaSC #tff #tplb #MpenjaTV

« Previous Next »

Popular Tags

#LeBron James  #Neymar  #Goalkeeper Saves  #Gareth Bale  #Mesut Ozil  #Amazing Solo Goals  #Manuel Neuer  #Lionel Messi  #Goal Celebrations  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#itsBayleyWWE  #realmadrid  #Oprah  #SteveNash  #KDTrey5  #ochocinco  #mcuban  #oldhossradbourn  #MikePereira  #obj  #BarackObama  #ladygaga  #RSherman_25  #wizkhalifa  #UKCoachCalipari