Content removal request!


Tambo za SIMBA ULAYA | Ataka mashabiki wanyoe makwapa | "Watasema SIMBA ya TFF"

Shabiki wa simba, Msafiri maarufu kama 'Simba Ulaya' ameelezea mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza na amefunguka kuwa kikubwa wanachoitaji ni pointi tatu ndio umuhimu na sio kitu kingine.