Ruvu Shooting 1-1 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 03/02/2022
Ruvu Shooting 1-1 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 03/02/2022

Ruvu Shooting na Mbeya Kwanza zimekabana koo na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague ulipigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Sadat Mohamed Nanguo ndiye aliyetangulia kupachika bao upande wa Ruvu Shooting na kisha Habib Kiyombo akasawazisha kwa 'free-kick'



Magoli | Ruvu Shooting 1-1 Mbeya Kwanza |  NBC Premier League 03/02/2022
Magoli | Ruvu Shooting 1-1 Mbeya Kwanza | NBC Premier League 03/02/2022

Ruvu Shooting na Mbeya Kwanza zimekabana koo na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague ulipigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Sadat Mohamed Nanguo ndiye aliyetangulia kupachika bao upande wa Ruvu Shooting na kisha Habib Kiyombo akasawazisha kwa 'free-kick'



KIPA WA AZAM FC ALIVYOTOLEWA KWA MACHELA NA KUKIMBIZWA KWENYE AMBULANCE, BAADA YA KUUMIA VIBAYA..
KIPA WA AZAM FC ALIVYOTOLEWA KWA MACHELA NA KUKIMBIZWA KWENYE AMBULANCE, BAADA YA KUUMIA VIBAYA..

KIPA WA AZAM FC ALIVYOTOLEWA KWA MACHELA NA KUKIMBIZWA KWENYE AMBULANCE, BAADA YA KUUMIA VIBAYA.. WAKATI mechi ya Simba sc vs Azam FC ikiendelea, kipa wa Azam, Ahmed Salula, akaumia na kutolewa nje kwa machela na kisha kukimbizwa haraka kwenye gari maalum ya wagonjwa. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Geita Gold FC 1-1 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 23/10/2021
Geita Gold FC 1-1 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 23/10/2021

Tazama highlights, Geita Gold FC walivyobanwa mbavu na Mbeya City kwenye Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita na kutoka sare ya bao 1-1. Mbeya City walitangulia kwa goli la Juma Luizio na kisha Geita kusawazisha kupitia kwa super sub, George Mpole. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



MORRISON KUWEKEWA ULINZI BOTSWANA/ HALI NI MBAYA SANA!/ SIMBA WAJIANDAA KUMLINDA!
MORRISON KUWEKEWA ULINZI BOTSWANA/ HALI NI MBAYA SANA!/ SIMBA WAJIANDAA KUMLINDA!

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison ameanza kuitia hofu Jwaneng Galaxy, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa ligi ya Mabingwa Barani Afrika, hatua ya Kwanza utakaochezwa mwishoni mwa juma hili mjini Gaborone, Botswana. Simba SC itaanzia ugenini Oktoba 17, kisha itarejea nyumbani jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa Mkondo wa pili uliopangwa kucheza Oktoba 22, Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Jina la Morrison limetajwa na Kocha Mkuu wa Jwaneng Galaxy Morena Ramoreboli, kama mmoja wa wachezaji hatari wa Simba SC na anatakiwa kuchungwa sana kwenye michezo yote miwili. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #bernardmorrison#simbasc #hajimanara



AL AHLY WAMTAMBULISHA MIQUISSONE/ PITSO AMPA DARAJA LA JUU/ WAANDISHI WA HABARI WASHANGAZWA!
AL AHLY WAMTAMBULISHA MIQUISSONE/ PITSO AMPA DARAJA LA JUU/ WAANDISHI WA HABARI WASHANGAZWA!

KOCHA Mkuu wa Al Ahly ya Misri raia wa Afrika Kusini, Pitso Mosimane, amemfungukia kwa mara ya kwanza aliyekuwa winga wa Simba, Luis Miquissone kuwa ni mchezaji hatari kutokea Afrika kwasasa na ndiyo maana amemsajili kwenye kikosi chake. Luis aliyejiunga na Simba, Januari 2020, akitokea UD Songo ya kwao Msumbiji, mwishoni mwa msimu huu aliachana rasmi na timu hiyo kisha kujiunga na Al Ahly kwa mkataba wa miaka mitatu. Taarifa kutoka nchini Misri, imeeleza kuwa, tangu Luis ajiunge na klabu hiyo amekuwa gumzo kubwa, jambo ambalo limewafanya waandishi wa nchini humo kumuuliza kocha Mosimane juu ya uwezo wake na kujikuta akimmwagia sifa lukuki. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #simbasc #yangasc #luismiquissone



INASIKITISHA SAKATA LA MCHEZAJI KUKATWA MGUU/POLISI TANZANIA WASEMA KUHUSU KUMTELEKEZA MCHEZAJI WAO
INASIKITISHA SAKATA LA MCHEZAJI KUKATWA MGUU/POLISI TANZANIA WASEMA KUHUSU KUMTELEKEZA MCHEZAJI WAO

GERALD ANAHITAJI MSAADA. Kijana Gerard Mathias Mdamu anateseka kitandani pale MOI Nadhani huu sio wakati wa kulaumiana na kuanza kunyoosheana vidole kuonyesha nani anakosea na nani yuko sahihi Jeshi la Polisi linajitahidi kumsaidia Mdamu na familia kwa nafasi yake inamsaidia Mdamu. Timu zilizo chini ya taasisi za serikali, taratibu zake hasa katika suala la fedha huwa zina mlolongo mrefu lakini sio kwamba Polisi Tanzania haitaki kumhudumia Mdamu. Kwa wakati huu nadhani ni jambo jema tukasaidia kuokoa miguu ya Mdamu kisha baada ya hapo tukarudi katika kulaumiana. Tumsaidie kijana na Mtanzania mwenzetu kwa chochote kile ambacho tumejaliwa ili kunusuru asikatwe miguu. Hii inaweza kuwa sadaka ambayo inaweza kutusaidia leo hapa duniani na kesho mbele ya muumba Haya shime Watanzania wenzangu Tuma mchango wako kupitia kwa namba hii ya simu 0714716843. Jina ni BENEDICTOR MDAMU Kaka yake Mdamu. ✍️@charlesabel24. @KitengeUpdates.



"KAMUUA KAMA MBUZI, ALIVURUGWA NA SHETANI" ALIEMBEBA MAREHEMU ALIEPIGWA RISASI SINZA
"KAMUUA KAMA MBUZI, ALIVURUGWA NA SHETANI" ALIEMBEBA MAREHEMU ALIEPIGWA RISASI SINZA

Shuhuda ambaye anafanya kazi marehemu alieuawa, ametuelezea tukio zima lilivyotokea namna ambavyo marehemu Alex Koroso alivyomshambulia mwenzake kwa risasi na kisha kujiua kwa kujipiga risasi ya shingo.




« Previous Next »


Popular Tags

#Gareth Bale  #Best Football Defending Skills  #Best Ball Controls  #Amazing Solo Goals  #Thomas Muller  #Zlatan Ibrahimovi  #Kyrie Irving  #Lionel Messi  #Counter Attack Goals Football  #Kobe Bryant  

Popular Users

#Kaepernick7  #BarackObama  #NiallOfficial  #BringerOfRain20  #_BAnderson30_  #TheChristinaKim  #IAmJericho  #CMPunk  #itsBayleyWWE  #DeionSanders  #rihanna  #iamsrk  #MikePereira