Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga wametamba kuwa na kikosi kizuri licha ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya ZANACO FC kwa kufungwa mabao mawili kwa moja. Mashabiki wa Wanachama wa Yanga ambao walikuwa wakishangilia kwa staili ya kuwajaza baada ya mshambuliaji Heritier Makambo kufunga bao la kufutia machozi kwenye mchezo huo wametamba kuwa msimu ujao wapinzani wao mbona wataomba poo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #yangasc #makambo #zanaco
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri 𝐋𝐈𝐕𝐄🔴:NAMUNGO FC VS AZAM FC | MAJALIWA STADIUM #Bonatv #Exclusive #kirafiki
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TANZANIA imetumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salam baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa. Baada ya dakika 45 ngumu za kipindi cha kwanza, Taifa Stars ikaifungua safu ya ulinzi ya The Flames kwa mabao ya Nahodha John dakika ya 68 na Israel Patrick Mwenda dakika ya 75. Na mabao yote yalipikwa na mshambuliaji chipukizi wa Mbeya City, Kibu Dennis aliyetokea benchi kipindi cha pili, la kwanza akimsetia Bocco kabla ya kuangushwa nje kidogo ya boksi na Mwenda akafunga kwa shuti la mpira wa adhabu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
TANZANIA vs MALAWI: Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi ‘The Flames’ katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote yamepatikana kipindi cha pili kupitia kwa John Bocco na Israe Patrick Mwenda huku Kibu Denis akihusika kwenye magoli yote mawili. #TaifaStars #TheFlames Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Wasikie Mashabiki wa Taifa Stars waliojitokeza Baada ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki wa timu za taifa kumalizika katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kati Tanzania dhidi ya na Malawi, mchezo uliomalizika kwa Tanzania kumfunga Malawi goli mbili kwa bila.
MCHEZAJI wa MALAWI Ataja WALIPOFELI, WAKAFUNGWA na TAIFA STARS.. mtanange wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania vs Malawi, umechezwa leo Juni 13, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Stars kuondoka na ushindi mnono wa mabao ( 2 - 0 ) yaliyowekwa kimiani na Captain John Bocco na Israel Mwenda.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
UCHAMBUZI wa ALI KAMWE - TANZANIA vs MALAWI, Amuelezea KIBU DENNIS na JOB.. mtanange wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania vs Malawi, umechezwa leo Juni 13, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Stars kuondoka na ushindi mnono wa mabao ( 2 - 0 ) yaliyowekwa kimiani na Captain John Bocco na Israel Mwenda.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline