Content removal request!


USAJILI YANGA; KIBU DENIS Afunguka Kujiunga YANGA, Apiga Asist Malawi akifungwa 2-0

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TANZANIA imetumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salam baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa. Baada ya dakika 45 ngumu za kipindi cha kwanza, Taifa Stars ikaifungua safu ya ulinzi ya The Flames kwa mabao ya Nahodha John dakika ya 68 na Israel Patrick Mwenda dakika ya 75. Na mabao yote yalipikwa na mshambuliaji chipukizi wa Mbeya City, Kibu Dennis aliyetokea benchi kipindi cha pili, la kwanza akimsetia Bocco kabla ya kuangushwa nje kidogo ya boksi na Mwenda akafunga kwa shuti la mpira wa adhabu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars