TANZANIA vs MALAWI: Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi ‘The Flames’ katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote yamepatikana kipindi cha pili kupitia kwa John Bocco na Israe Patrick Mwenda huku Kibu Denis akihusika kwenye magoli yote mawili. #TaifaStars #TheFlames Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri 𝐋𝐈𝐕𝐄🔴:SIMBA SC VS YANGA SC U 20 | AZAM COMPLEX #Bonatv #Exclusive #kirafiki
Azam FC imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leop kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Azam wametangulia kupata bao kwa free-kick ya Never Tigere kabla ya Mazembe kusawazisha kupitia kwa Adam Baso. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
🔴#LIVE: AZAM FC vs TP MAZEMBE ( 1 - 1 ) - MECHI ya KIRAFIKI, UWANJA wa AZAM COMPLEX.. MTANANGE wa kirafiki kati ya AZAM FC vs TP MAZEMBE, umechezwa leo Februari 02, katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Timu ya Azam FC imeibuka na ushindi wa magoli mawili baada ya kuichapa Malindi FC katika mchezo wa kwanza wa kirafiki uliochezwa leo katika uwanja wa Mao Tse Tung, visiwani Zanzibar. Magoli mawili yote ya AZAM FC yalipatikana katika kipindi cha kwanza, ambapo Idd Seleman alifunga goli la kwanza katika dakika ya 17 ya mchezo, na goli la la pili likafungwa na Mudathir Mudathir dakika ya 45+2. AZAM FC itaendelea na mchezo wa pili wa kirafiki Jumamosi hii kwa kucheza na KMKM, na mchezo wa tatu utachezwa Jumatano ijayo dhidi ya kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ SC) Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa magoli mawili baada ya kuichapa Malindi FC katika mchezo wa kwanza wa kirafiki uliochezwa leo katika uwanja wa Mao Tse Tung, visiwani Zanzibar. Magoli mawili yote ya AZAM FC yalipatikana katika kipindi cha kwanza, ambapo Idd Seleman alifunga goli la kwanza katika dakika ya 17 ya mchezo, na goli la la pili likafungwa na Mudathir Mudathir dakika ya 45+2. AZAM FC itaendelea na mchezo wa pili wa kirafiki Jumamosi hii kwa kucheza na KMKM, na mchezo wa tatu utachezwa Jumatano ijayo dhidi ya kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ SC). #MechiYaKirafiki #AzamFC #MalindiSC #AzamMalindi Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz