Maandalizi ya Yanga kuelekea mchezo wao dhidi ya Mbeya City @Funspoti.
UhondoTV #Uhondo #www.uhondomedia.com.
Tunajua Haji Anakera anafanya hivi na vile, ni aina ya watu ambao kufika umri ule kumrekebisha ni kazi sana Hivyo TFF Waangalie sababu wakati mwingine ni mtu wa 'mood' nashauri awe na heshima kwa watu ajirekebishe, ajifunze 'OSIAH KATIBU WA ZAMANI WA TFF'
Simba SC leo wamewasili Afrika Kusini wakitokea Tanzania, Simba wammende Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wao wa robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao Orlando Pirates ambapo katika mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam, Simba SC walishinda 1-0.
Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media&hl=en_US Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Bao la Adam Adam limeipa JKT Tanzania ushindi wa 0-1 dhidi ya Simba katika mchezo wa Vodacom Premier League uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Tazama Vodacom Premier League LIVE na EXCLUSIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ►http://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz #SimbaSC #SimbaJKT #SimbaVPL