Lipuli FC 1-1 Azam FC | Magoli mawili na penati moja - VPL 19/07/2020
Lipuli FC 1-1 Azam FC | Magoli mawili na penati moja - VPL 19/07/2020

Azam FC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Lipuli FC, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Samora, Iringa. Wafungaji ni Abdallah Heri Sebo kwa Azam FC na Paul Materazzi kwa upande wa Lipuli FC. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Lipuli 0-1 Kagera Sugar | Goli la Abdul Swamadi na kauli za makocha
Lipuli 0-1 Kagera Sugar | Goli la Abdul Swamadi na kauli za makocha

Ni mechi ya ligi kuu Tanzania Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa samora mjini Iringa, wenyeji Lipuli FC wakichezea kichapo cha bao 1-0. Kocha Nzeyimana Mailo na Mecky Mexime wametoa neno baada ya mchezo. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli yote: Lipuli FC 3-3 Ndanda SC - Paul Nonga, Vitalisy Mayanga kila mmoja apiga mawili
Magoli yote: Lipuli FC 3-3 Ndanda SC - Paul Nonga, Vitalisy Mayanga kila mmoja apiga mawili

Ni katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara ulioahirishwa jana Machi 4 na kupigwa leo asubuhi Machi 5, 2020 kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa. Tazama magoli yote hapa. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli ya ajabu, Namungo FC yaichapa Lipuli FC 2-1 nyumbani kwao huku David Kameta akikosa penati
Magoli ya ajabu, Namungo FC yaichapa Lipuli FC 2-1 nyumbani kwao huku David Kameta akikosa penati

LIPULI FC 1-2 NAMUNGO FC: MAGOLI YOTE (VPL - 29/02/2020). Timu ya Namungo imeendeleza ubabe kwa kushinda 2-1 dhidi ya Lipuli FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Samora mjini iringa. Magoli ya Namungo yamefungwa na Bigirimana Blaise pamoja na George Makang'a huku bao la kufutia machozi likifungwa David Kameta 'Duchu' ambaye pia alikosa penati. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Ona Simba Walivyotua Dar Wakitokea Iringa Kuisambaratisha Lipuli fc
Ona Simba Walivyotua Dar Wakitokea Iringa Kuisambaratisha Lipuli fc

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1 #simbasc



Lipuli FC 0-1 Simba SC : Highlights - 15/02/2020
Lipuli FC 0-1 Simba SC : Highlights - 15/02/2020

Nahodha wa Simba John Bocco ameifungia timu yake bao pekee la ushindi na kuipa pointi tatu mbele ya Lipuli FC, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Samora, Iringa, Ligi Kuu Tanzania Bara VPL. Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/de... Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Bao la Naodha John Bocco likiipa Simba ushindi wa 1-0 nyumbani kwa Lipuli FC
Bao la Naodha John Bocco likiipa Simba ushindi wa 1-0 nyumbani kwa Lipuli FC

Nahodha wa Simba John Bocco ameifungia timu yake bao pekee la ushindi na kuipa pointi tatu mbele ya Lipuli FC, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Samora, Iringa, Ligi Kuu Tanzania Bara VPL. Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media&hl=en_US Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul Pogba  #Best Ball Controls  #Best Ball Controls  #Thomas Muller  #Zlatan Ibrahimovi  #Football Skills  #Goalkeeper Saves  #Best Goalkeeper Saves  #Stephen Curry  #Best Goals  

Popular Users

#MieshaTate  #ArianaGrande  #TimTebow  #WWE  #akshaykumar  #Drake  #nfl  #fauxpelini  #MileyCyrus  #SHAQ  #baseballpro  #BringerOfRain20  #JohnCena  #_BAnderson30_