Content removal request!


Magoli ya ajabu, Namungo FC yaichapa Lipuli FC 2-1 nyumbani kwao huku David Kameta akikosa penati

LIPULI FC 1-2 NAMUNGO FC: MAGOLI YOTE (VPL - 29/02/2020). Timu ya Namungo imeendeleza ubabe kwa kushinda 2-1 dhidi ya Lipuli FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Samora mjini iringa. Magoli ya Namungo yamefungwa na Bigirimana Blaise pamoja na George Makang'a huku bao la kufutia machozi likifungwa David Kameta 'Duchu' ambaye pia alikosa penati. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz